Tukubali!Kuna watu wameumbwa na kuumbika...!!!

Xkalinga

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
476
316
Kuna watu huwa wanapinga kila kitu,nataka niwaone watakao kosoa uumbaji huu wa muumba.Kwa mambo binafsi ya ndani hatujui ila kwa uzuri wa nje,sura nzuri,muonekano bomba, urembo halisia,kiuno cha nyigu,pozi n.k nadhani hakuna wa kupinga kwamba mdada kaumbika...!!labda chuki binafsi tu.Weka maksi
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p>View attachment 25623</o:p>
 
Beauty is in the eyes of a beholder. Kwa vigezo vyangu she is only 3.5% beautiful
 
ni wa kawaida sana, labda hiyo rangi ndio inawachanganuya.

Kwa vigezo vyangu, uzuri wake ni 0.04%
 
61180_1198329536240_1768586741_410751_3218015_n.jpg
26793_1367340666958_1334933232_1011657_352535_n.jpg
27218_1416607218591_1334933232_1119549_7918059_n.jpg
 
aisee huyo mtoto si mchezo..............bt cdhani kama ana kitu extra saaaaaaaaaaana kumzidi huyu--mtazamo tu!!:juggle:
 
we wa wapi mtoto mkali hivyo unampa asilimi hizo labda rudia kuangalia tena
 
Mzuri mke wangu tu! sijaona kama yeye, kama unabisha ni PM nikutumie picha!
 
Kuna watu huwa wanapinga kila kitu,nataka niwaone watakao kosoa uumbaji huu wa muumba.Kwa mambo binafsi ya ndani hatujui ila kwa uzuri wa nje,sura nzuri,muonekano bomba, urembo halisia,kiuno cha nyigu,pozi n.k nadhani hakuna wa kupinga kwamba mdada kaumbika...!!labda chuki binafsi tu.Weka maksi
<!--?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /--><o:p>View attachment 25623</o:p>
Kilichovutia naona ni huo ushuzi tu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom