Je ni udini ulioletwa na serikali ya JK au ndio kusema paka huyu ni mwizi wa kitoweo kiasi kwamba imebidi asulubiwe msalabani?? Sina jibu ila maswali kibao.
ENZI HIZO ILIKUWA NI KAWAIDA KUONA MAKABILA AU WENYEJI FULANI WAKIWA KATIKA MAVAZI YA KIENYEJI SIKU HIZI MILA ZIMEBADILIKA SANA KUTOKANA NA UTANDA WAZI WA TEKINOLOJIA:israel: