Huyu jamaa alikuwa na dharula gani

Huyu ni fundi wa Symbion Power ya kikwete baada ya kumaliza kazi ya kufunga wire za umeme za 415kwh akaamua kumpigia demu wake wa buguruni kuwa jioni atakwenda!!
 
Haya ni matatizo ya mafundi wetu wa tanesco. Hajui hata relation kati ya radiation zinazotoka ktk simu yake na nyaya hizo za umeme. Nampa pole ya kiungwana.
 
Haya ni matatizo ya mafundi wetu wa tanesco. Hajui hata relation kati ya radiation zinazotoka ktk simu yake na nyaya hizo za umeme. Nampa pole ya kiungwana.
...Sidhani kama ni fundi wa Tanesco, huyo ni kishoka aliyedakwa na MD wa Tanesco Eng. Mhando baadaye akamponyoka akamuachia Mhando shati lake mkononi yeye akatoka nduki nadhani hapo alikuwa akishughulika. Hana hata kifaa kimoja cha kufanyia kazi...
 
Uchovu na maisha unaweza kukupeleka kufananya mambo magumu. Pole zake nyingi. Asikojoe tu huko.
 
Back
Top Bottom