Zamani hizo mambo yalikuwa hivi

Zamani hizo mambo yalikuwa hivi

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
ENZI HIZO ILIKUWA NI KAWAIDA KUONA MAKABILA AU WENYEJI FULANI WAKIWA KATIKA MAVAZI YA KIENYEJI SIKU HIZI MILA ZIMEBADILIKA SANA KUTOKANA NA UTANDA WAZI WA TEKINOLOJIA:israel:
 

Attachments

  • 224794_172268872827679_100001337033839_388348_7044683_s[1].jpg
    224794_172268872827679_100001337033839_388348_7044683_s[1].jpg
    4.3 KB · Views: 405
Tafiti zinaonesha kuwa katika maeneo ya mjini mabinti wengi wanaoonesha kuwa wamesoma wamejikuta kidogo kidogo wakivua ngua na kutembea uchi kama enzi za ujima. Hakika hili ni tatizo. Ivi hakuna wadau wa kulifanyia kazi suala la wadada kutembea uchi?
 
Back
Top Bottom