Ng`ombe hazeeki maini..

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
uzee dawa.jpg

.usifanye mchezo na vijana wa zamani bana...
 
we babu vp?na we mwanamke umevaa nguo ya mdogo wako wa mwisho nini?babu angalia ucchakachue mali za watu.....:whistle:
 
Ndio maana siku hizi watu wazima wanakufa kwa ukimwi halafu tunasema umri umeenda!
 
Hata wazee wanaitaj malez ya moyo. Kwan ukizeeka ndo ule na ubwabwa uliolala. Yaan we mze una dream kama zang ntakamata mpya 2 mpaka nalala shmon.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom