Cheki jezi ya timu ya wanawake ya Iran

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Hii ni timu ya taifa ya wanawake ya Iran iliiyoondolewa kwenye mechi za kufuzu kucheza Olympic 2012 kwa sababu ya "jezi" zao

1.jpg Iran 2.jpg Iran 3.jpg Iran 4.jpg Iran 5.jpg Iran 7.jpg
 
Mbona sioni sababu ya maana ilyowafanya hao FIFA wawafungie? Kwani hizo jezi zitaleta madhara gani kwa timu pinzani? Sana zitawafanya wenyewe washindwe kuwa free sana wakati wa kucheza.Au FIFA wanataka kuona mapaja ya watoto wa kiarabu nini?

FIFA ni lazima wabadilike sivyo nchi nyingi za kiarabu zitafikiria upya suala la kushirikisha wanawake ktk soka.
 
fifa wamesema hawana dini wala kabil, so katika soka wasilete masuala ya imani.
 
Sasa kama ni hivyo basi walitakiwa wawaruhusu wacheze ili kuonyesha kuwa hawana dini wala kabila.Huo ndo utamaduni wao waarabu kwamba mwanamke ni lazima ajisitiri mwili mzima.
 
Mimi siyo mwislamu. Tatizo lingine ni kuendekeza western culture kama ndio civilization. Tamaduni za middle east ukiacha mambo ya dini, wanawake na wanaume wana uvaaji wao. Dini pia ni culture. Wapo ambao wapo mashariki ya kati nao hupenda kuvaa hivyo. Tazama maigizo ya matendo ya Yesu, na angalia wanawake walikisiwa kuvaa vipi hata kabla ya uislamu. FIFA needs to reform, not everything is Western. Kwa hili Waarabu hawa walionewa tu.
 
Mkuu nakupa hongera, huu ni ubaguzi wa hali ya juu. Mbona wamependeza tu na hizo jezi.
 
Back
Top Bottom