Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 Jun 9, 2011 #1 brand new snake....
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,814 Reaction score 9,340 Jun 9, 2011 #2 na sumu inaongezeka, mbona twafa mwaka huu!!!!!!!!!
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jun 9, 2011 #3 huyu wa michirizi hana noma kama yule wa kijani aka(ccm) yule gamba limeng"ang"ania na akilazimisha uhai wake ndio umefikia tamati.
huyu wa michirizi hana noma kama yule wa kijani aka(ccm) yule gamba limeng"ang"ania na akilazimisha uhai wake ndio umefikia tamati.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,840 Reaction score 13,806 Jun 9, 2011 #4 Kama vIle ile sinema ya anaconda.
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Jun 10, 2011 #5 duuu! nimeipenda hii
S Sharo hiphop JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 660 Reaction score 104 Jun 10, 2011 #6 anakuwa mkali zaidi maana anakuja na ANGUKA ZAIDI.(Usisahau kuwa ANGUKA= A:ri zaidi NGU:vu zaidi KA:si zaidi inatisha mazee
anakuwa mkali zaidi maana anakuja na ANGUKA ZAIDI.(Usisahau kuwa ANGUKA= A:ri zaidi NGU:vu zaidi KA:si zaidi inatisha mazee
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Jun 11, 2011 #7 Salam kwa makamba,chenge,rostam.........................!!!!!!!!
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Jun 11, 2011 #8 Dah tena anakuwa kijana upyaaa na sumu inakuwa kali zaidi du CCM watatuua sasa hivi
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 746 Jun 12, 2011 #9 Hii misemo inabidi yeyote anayeibuni na kuitoa aangalie na tafsiri zake mbalimbali hapo baadaye maana ina tafsiri tofauti kutegemea na anayesikiliza.
Hii misemo inabidi yeyote anayeibuni na kuitoa aangalie na tafsiri zake mbalimbali hapo baadaye maana ina tafsiri tofauti kutegemea na anayesikiliza.
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Jun 12, 2011 #10 I hate snakes
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Jun 12, 2011 #11 Ha ha ha haaaaaa...