Naona hapa ni sawa kabisa!

Naona hapa ni sawa kabisa!

TzPride

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Posts
2,616
Reaction score
1,172
Wakubwa nadhani ni sawa kabisa, maana huyu jamaa wa sasa alishindwa hata kuvaa, ikabidi alazimishe ajitwishe!
 

Attachments

  • Tz 1 to 4.jpg
    Tz 1 to 4.jpg
    45.9 KB · Views: 269
Mkapa aliimudu nchi kuliko mwinyi, nashindwa kumelewa aliyechora katuni hii, thoygh kila mtu ana namna yako ya kuona jambo.
 
Kazidiwa kwa kupenda mwenyewe sababu Mkapa aliweka msingi mzuri yeye alitakiwa kufanya vizuri zaidi lakini looo! hata wakuu wa mikoa na wilaya kashindwa kuchagua, jamani aibu sana
attachment.php
 
Back
Top Bottom