Wakuu,
Wakongwe kidogo kama mimi mnavikumbuka vitanda vya namna hii?
Mi nakumbuka tumevitumia sana enzi hizo, hata wazee wetu tulikuta wanavitumia!
Ninachojiuliza ni kuwa wazungu walikuwa na...
What else did they expect! Revellers pass out in the gutter and stagger around without trousers, after nightclub's 10p-a-drink offer
After paying £5 entrance fee, drinkers could buy a pint of...
Jana usiku star tv walifanya mahojiano na msanii wa filamu za kibongo jaqline pentel. Angalia kivazi kinakera na wahusika hawakustahili kumhurusu kuja studio na aina hii ya kivazi.
Rais akiagana na dada aliyekuwa mhudumu wake katika hoteli hiyo.
Nimeshindwa kuelewa mbona huyo dada kamtazama membe kama ana ugomvi naye? au wewe unaonaje? dah! hata hivyo Rais wetu anafaidi...
Jamani nisaidieni kama kuna nchi ambayo inatumia pesa mpya na za zamani kwa wakati mmoja,hasa yanini kuchapa mpya wakati za zamani zipo kwenye mzunguko?angalia hiyo noti na uchakavu wake mnipe...
Jamani tujihadhari na matairi ya ku-retread. Angalia tairi la nyuma kushoto. Ajali hii ilisababishwa na kufumuka kwa tairi. Ilikuwa saa nne asubuhi maeneo ya Rungwe ambako hali ya hewa ni baridi.
Nimesoma thread humu ndani kuhusu mgombea ubunge wa UPDP, kwa bahati nzuri nilifanikiwa kupata picha zake baada ya kufukuzia msafara wake kwa baiskeli, ulinipita nikiwa katika baa ya Kibo nikipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.