Matumizi mbalimbali ya Kondom

Matumizi mbalimbali ya Kondom

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Canon%2B16%2B174.jpg
 
Aiseee,

Hii imetokea mkoa upi? Tunahitaji kwenda kutoa elimu sahihi ya matumizi ya njia hii ya kujikinga na ukimwi na siyo kutumia vikingio hivi kama mitego ya kuwindia .....
 
enzi zetu tukiwa shule tulikuwa tukicheza mipira iliyofumwa kwa manati, na sox ndio zilitumika hasa kujaza vitambaa kama hii taaluma ingeendelea hadi leo nadhani condom zingekuwa adimu sana
 
Wabongo ni wabunifu wa kutumia hii kitu. Kula kwa Mandela kuna fatwa
 
Well created, good for the brain that worked that out!
 
Duh! May be anajilinda na virusi vya ukimwi kwa kutumia manati.
 
kama tumefikia huku .... hali inatisha
 
Back
Top Bottom