Wasanii wetu wamekosa maadili kabisa, siwezi kuwalaumu sana star TV kwani kama ulishaandaa kipindi hasa cha live ni vigumu kumzuia mgeni dakika za mwisho my be kama wangeshirikishwa kwenye uchaguzi wa hilo vazi, ila kiukweli wasanii wetu wanapaswa kubadilika.