Nipo njia panda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipo njia panda!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Shomari, Sep 26, 2011.

 1. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  IMG_2312.jpg

  Rais akiagana na dada aliyekuwa mhudumu wake katika hoteli hiyo.

  Nimeshindwa kuelewa mbona huyo dada kamtazama membe kama ana ugomvi naye? au wewe unaonaje? dah! hata hivyo Rais wetu anafaidi sana akiendaga huko . cheki hilo jimama lilivyoumbika mpaka bodigadi wa kikwete wanajikanyaga , badala ya kumlinda kikwete wao wanalinda lijimama. duh!
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  piga ua mkweree lazima alisukuma ngozi!
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,977
  Likes Received: 6,522
  Trophy Points: 280
  Unasema? sijakuelewa Mpwa
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni kama Membe anafahamu kitu fulani lakini anamezea na huyo dada anafahamu Membe anajua issue hiyo hivyo anamkazia macho kama msisitizo. Jamani msinisute je wewe nawe unasemaje?
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  kusukuma ngozi jadi yetu
  mmarekani hataki kukunjwa sio kama dada zetu,,oohooo!!mie sipo!
   
 6. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Dah! nimecheka kweli! Inawezekana huyu membe kuna siri atakuwa anaijua.
   
 7. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 4,998
  Likes Received: 914
  Trophy Points: 280
  Rais gan mwingine anaagana na mhudumu kiivo? ****** atakua na rekodi nyingi kuliko marais wengine duniani!
   
 8. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 8,909
  Likes Received: 3,583
  Trophy Points: 280
  Membe anashangaa,hala macho alipoyaelekezea.
   
 9. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Halafu Membe kavaa sandals utadhani anaenda chooni. hawana hata aibu wanaponda raha huko, huku wananchi maisha ndiyo yanazidi kuwa magumu.

  IMG_2309.jpg
   
 10. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,898
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Huyu dada kama anawapiga biti
  hakuna wizi uliotokea hoteli hapo kweli?
  Kwa jinsi huyu dada alivyomshika mkuu hakuna hali ya amani hapo
  lazima kuna kitu membe kafanya hapo hotelini tena cha ovyo
  mkuu alikuwa anazima hiyo noma, ndio maana mlinzi yake macho

  na membe kavaa kama kibaka
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,898
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  membe kalitukanisha taifa hii nini?
   
 12. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 4,998
  Likes Received: 914
  Trophy Points: 280
  Dah public figure in official matters with sandals! Hawa kweli wameenda kutalii!
   
 13. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 8,909
  Likes Received: 3,583
  Trophy Points: 280
  Jamani kavaa sandals hali ya hewa inaruhusu.ingekuwa january asingethubutu
   
 14. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,898
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  nadhani membe alikuwa anafukuzwa kwenye hotel kwa mavazi yake
   
 15. OMGHAKA

  OMGHAKA Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mama kapagawa achague yupi? wote wahandiii na JK kawahi kukamata lakini membe nae.... mama amebaki njiapanda
   
 16. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,411
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  Hayo ndiyo yanayompeleka mkweree huko majuu halafu yuko **** mmoja eti anasema mkweree huwa anafanya hizo safari kwenda kusaini mikataba!!! Kule alikokwenda kubembea alisaini mkataba gani wewe kilaza?
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Ndo hivyo handsome wenu ana spread territory tuuuu kwa kodi zenu
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  nimezipenda sandals za Membe nzuri kweli!
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Huyu dada itakuwa usiku wa jana yake alimgongea Membe akidhani anaweza kazi mambo yakashindikana lakini alipogonga chumba cha pili akakunwa vilivyo sasa hapa anamuangalia Membe na kuwaza huyu muafrika wa wapi hawezi kazi ?
   
 20. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,460
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Mzee wa Rula,
  Naona afadhali tubadilishane majina. Unafaa kabisa kazi ya ujasusi.
   
Loading...