Mambo ya geto!

Mambo ya geto!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Duhu, huyu jamaa bongo fleva hazimpiti!
AaSdb6hCQAAfdok.jpg large.jpg
 
DUh si mchezo hii addiction ni noma sasa, jamaa hayo masaburi si ndo yanaiva sasa kwa joto la laptop
hahahahaa!!!
umenifanya nikacheka mwenyewe!!
sasa si afanye kitu cha Ipod tu?? kwanza miwaya waya yote hayo ya nini asee!!! ya nini kupasha masaburi joto bana!!!
 
Hahahahha....kweli mshkaji ni mbunifu!!!Ila alivyofunga lt hivyo kuna kitu kinaendelea kweli?
 
upotofu wa akili...siku hizi miziki ni kwenye shufle..na bluetooth...
 
Kha!! Kashindwa ipod hata simu yenye memory card ajaze miziki kweli??
 
Haki ya nani Askari Kanzu nimeizimia avatar yako ile mbaya! Its so nice.
 
hahahahaa!!!
umenifanya nikacheka mwenyewe!!
sasa si afanye kitu cha Ipod tu?? kwanza miwaya waya yote hayo ya nini asee!!! ya nini kupasha masaburi joto bana!!!

Naomba kuelimishwa, hivi hii term Masaburi maana yake ni nini? Ni msamiati mpya? Kuuliza siyo ujinga.
 
Anachokipika ni hatari sana kwa afya yake iwapo mlaji ni yeye peke yake!
 
Back
Top Bottom