Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Hii picha imenikumbusha mbaoi siku nilipochelewa kwenda darasani college huko baada ya kukwamba njiani nilipotoka kazini usiku sababu ya snow kunyesha futi tatu sawa na karibu meter moja
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Nimeiangalia sana hii katuni, imeleta ujumbe mkali sana kwa serikali ya JK, hiyo shuka ya mgonjwa ina tafsiri nyingi sana, zinazotukumbusha kipindi cha uchaguzi kwamba vitu vya kuhongwa like...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
<!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:TrackMoves/> <w:TrackFormatting/> <w:PunctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/>...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
life goes on
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mia...........
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Son wrecks famous dad's prized race car Andrew Miedecke gave his son two instructions before a race: Don't crash and don't come in second. Watch
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Si mnaona jamani...........
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je msosi utalika!!!!!?????
0 Reactions
6 Replies
2K Views
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba...
0 Reactions
131 Replies
13K Views
Sote tumezoea kuadhibiwa pindi tukoseapo lakini hii adhabu ni kiboko. Ukiitumie kumuadhibu mpenzi wako hii imekaeje?
1 Reactions
15 Replies
2K Views
hapa daktari amesha discharge zaidi ya nusu ya wodi na bado pana congestion.mnaosupport serikali unajisikiajemkeo,dada yako au rafiki yako akikaa kwenye mazingira haya?
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ilikuwa balaa...!!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Ukiwa wewe ni Muumin wa kweli, unaombwa uchangie Masjid Goba ijengwe. Kwa sasa Hali ya Masjid yetu iko katika hali hii... Nimefika hapa leo na mimeonana na Imam wa msikiti huu...Tumeongea mengi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mia
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Abelina Kitochi Mgonjwa aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam jana akilia nje ya wodi hiyo baada ya kukosa huduma kwa siku...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hapa si Uwanja wa Taifa, hivyo ieleweke kuwa hawa si mashabiki katika mechi kati ya brazil na Taifa stars Bali ni:- Interview UDOM, walioitwa kwa Interview kwa ajiri ya nafasi za HR walikuwa 2226...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Hivi hapa kweli nani anapaswa kulipwa zaidi ya mwingine?
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Huyu ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama Huyu ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba...
18 Reactions
51 Replies
8K Views
Back
Top Bottom