Hali ya maisha ngumu, tunataka mishahara yetu na posho zetu za kukaa ziongezweeeeeee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya maisha ngumu, tunataka mishahara yetu na posho zetu za kukaa ziongezweeeeeee

Discussion in 'Jamii Photos' started by everybody, Feb 11, 2012.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, matumizi yetu yametuzidi, tunataka nyongeza za mishahara na posho za kukaaaaaaa!
   

  Attached Files:

 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Umesahau na school fees na gharama za umeme.
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he mbona fungu la bia na totoz makubwa sana kuliko la basic needs?
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nahdani itakuwa ndo bajeti za vijana wa leo, cjui kama tutafika kwa hali kama hii
   
Loading...