Haya mambo ni kweli yanajitokeza kwenye daladala?

Haya mambo ni kweli yanajitokeza kwenye daladala?

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372
423497_10150562688663768_544608767_9163654_321784241_n.jpg428119_10150557191053768_544608767_9150546_211195522_n.jpg
 
sijawahi kuona. nadhani ni imagination ya msanii tu
 
Sina mbavu mkuu!! Utanidai bia mbili. Teh! TEH!
 
Watu wanafaidi kimyakimya wanavyosimama kwanye daladala
 
Hii noma ndo maana ma wife anashinda tu home
 
Mbona hapo hawaja banana? Ngoma ukute mmebanana, simu yako ikiita ukishusha kwa uharaka mkono utajikuta umeingia mfukoni kwa mtu badala ya mfuko wako. Lengine ni wakinamama, kwenye kujishikilia ni wavivu sana, akigundua upo nyuma yako anashika uwongo halafu anakuegemea kwa masabuli mzimamzima. Shida tupu, nowonder watu wanakimbila mikopo ya magari hatakama amepanga chumba kimoja.
 
Unawafahamu Madungadunga na wagonjwa wa mfadhaiko?usithubutu kupanada nao kama gari imejaa.Hawaibi simu wala pesa, utastukia tu nguo yako imeloa.Dada zetu wanapata shida kwa hawa watu.
 
he he he kuna vijamaa kwa sura tu haviaminiki so wakishusha mikono lazima uwe makini..........
 
Ni mecheka sana hasa pale jamaa anapo mwambia dereva amdai bia mbili baada ya kumrahisishia kazi, kwangu inaweza ikawa carton of the year
 
Eti "kwa nini ashushe mikono lakini?"du kwenye dala dala hakuna hata kujikuna.
 
Mbona hapo hawaja banana? Ngoma ukute mmebanana, simu yako ikiita ukishusha kwa uharaka mkono utajikuta umeingia mfukoni kwa mtu badala ya mfuko wako. Lengine ni wakinamama, kwenye kujishikilia ni wavivu sana, akigundua upo nyuma yako anashika uwongo halafu anakuegemea kwa masabuli mzimamzima. Shida tupu, nowonder watu wanakimbila mikopo ya magari hatakama amepanga chumba kimoja.
Kukimbilia mikopo siyo suluhisho la matatizo bali ndo kwanza unaongeza matatizo ya garama za maintenance ya gari na matunzo ya familia na bei za vitu inavyopaa utakoma
 
Back
Top Bottom