Jamani hebu oneni miujiza ya kijijini kwetu

Jamani hebu oneni miujiza ya kijijini kwetu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,639
Reaction score
167,512
Hapa ndio kijijini kwetu

pool.jpg
 
Du! Ama kweli nyie ndo mnafaidi maisha bora kwa kila mtaz. Hongereeni sana mkuu.
 
Naomba contact za huko village ili niwapelekee yenyewe original!
 
​Nimependa siha na afya za hao watoto, na huyo kigoli du!
 
Watu wa kijiji kwenu yaelekea wako 'vere creative'. Safi sana mkuu.
 
Watoto kama hao wakimata vyeo ndio wanakuwa mafisadi na kusahau hata kwao
 
DU SAFI SANA SIKUTEGEMEA KAMA KWENU KUNA POOL. hebu wasaidieni wapate original
 
Mkuu hii kitu ipo kwa Michuzi, tujifunze at least ku acknowedge source tunapotumia information za watu, maana ulivyoiweka ni kama picha umepiga wewe!
 
Back
Top Bottom