Kibantu si KIZUNGU

Kibantu si KIZUNGU

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,632
Reaction score
167,500
lugha.jpg

MWEEEE tunagegena lugha za watu
 
hatariiiiiiiiiiiiiiiii maana unaweza kujing'ata ulimi hapo
 
Hahahahahhhaa!
Dah!mwandishi kamaliza ufundi hapo lol!
 
Hii si kingreza....labda kireno...au kizaramo
 
Owner amefeli form four kama toto la kikwete! artist naye amegraduate shule za kata....
 
Hahahaha hiyo daladala huwa naiona mara kibao naishia kucheke na washkaji hawana noma hata moja kama wamechapia
 
Amesha sema No Descution, sasa mnabisha nini tena?
 
Back
Top Bottom