Maendeleo ya serikali ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maendeleo ya serikali ya JK

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaKiiza, Feb 11, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  View attachment 47145
  Watoto na vipaji lakini hawana mahali pakuvionyeshea na JK kawaaidi kila mwanafunzi kuwa na Laptop!
   
 2. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ubunifu safi sana
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watoto kama hawa wangeendelezwa kusingekuwa na tatizo la ajira kwani wangijiendeleza wenyewe
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  mbunifu yeyote hapa Tanzania ni uhaini, watu wataendelea kubuni lakini hakuna support yoyote kutoka kwa serkali. Wapo waliobuni magobole wakaishia segerea eti wanahatarisha amani, kuna mwingine alibuni radio ya kurusha matangazo akaambiwa hana kibali cha kufanya hivyo
   
Loading...