Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Nyumbani kwa marehemu sinza hapo chini akiiaga familia kama kawaida kwa tabasamu kali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilidhani haya mauaji ya albino yameshakoma kwani ni kipindi kirefu sana sijasikia habari za albino kuuwawa Tanzania, sasa pamoja na yote hayo kituo cha television cha ufaransa France 24, ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa Nao Wanapenda Mabadiliko Au Wanakwepa Njaa?
1 Reactions
24 Replies
4K Views
I am just curios kwa vile kesi hizi tulisikia zikitangazwa kuwa zitafunguliwa lakini baada ya hapo naona kimya tu: (1) Mbunge Nimrod Mkono wa Musoma Vijijini dhidi ya Dr. Slaa kwa kumwita fisadi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ni swali tu..
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Hapa mzee mzima alicheza rafu kidogo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasanii wengi Tanzania walipofariki nilisikitika lakini sikuwahi kulia machozi ila kifo cha Steven kimenitoa machozi. Inauma sana jamani. Pumzika kwa amani Kanumba the great.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Daktari orijino wa kung'oa jino akiwa kazini. Kudaadadeki!
1 Reactions
5 Replies
4K Views
East African Online Law Library learn various laws in the east african online law library
0 Reactions
0 Replies
766 Views
umeiona?lol
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bado sijajua ni sababu ipi iliyotoa dhamana kwa polisi kutoa kipigo cha mwizi kwa msanii huyu ila picha inasikitisha. Polisi ni chombo cha usalama kweli??????? Pole yake..
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe ameitaka Serikali kufufua viwanda na kujenga vingine ili kuendana na Ongezeko la watu nchini. Zitto amesema viongozi hawapiganii kufufua Viwanda kwa...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Maisha mazuri kwa vibabu. chezeya kili uta-jikerry
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Twendeni na wakati jamani , kutumia Ipad sio anasa wala ubishoo, bali inapunguza kero ya kutembea na makaratasi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapa yupo na Mzungu....... kisa mzungu hakutaka kukanyaga kanga wala mkeka........ Hapa Akiwa na Wamatumbwi....atadai mkeka...kanga...nk eti asichafuke....usanii mtupu!!
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Happy Easter
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa yupo JF.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kakata mawasiliano nae niunganishe na ili pasaka yangu hii iende vizuri
0 Reactions
3 Replies
2K Views
familia nzuri ya kupendeza kabisa.wanaangalia kitu gani tena?
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Back
Top Bottom