JK: kazi niliyoomba na mkanipa si ni yakusaini tu?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
04_12_s6cxhp.jpg

Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mwigizaji mahiri wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican, jijini Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro).
 
hongera Mh Raisi,si ktk raha tu,hata ktk majonzi raisi yupo nasi
 
04_12_s6cxhp.jpg

Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mwigizaji mahiri wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican, jijini Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro).

Hivi hicho ni kile kiti chake cha siku zote?
 
Hivi hicho ni kile kiti chake cha siku zote?

hiki ni kile ambacho Sheikh yahya alimkabidhi kimpe ulinzi uliojificha ambao hata hivyo haukuweza kumlinda yeye mwenyewe mtumwa wa mapepo..............
 
Tuoneshe kimoja cha maendeleo Tanzania alichofanya Rais yoyote kabla ya Kikwete ambacho Kikwete hajakifanya zaidi.
 
Acheni hiyo jamani...he cares!

Ana care nini? Kama angekuwa ana care wananchi waliomchagua asingekubali Policcm kuwaua ndugu zetu wa Songea, Mbeya, Arusha, Mara na sehemu zingine ndani ya nchi. Hana lolote huyu Vasco Da Gama.
 
Hivi Vasco Da Gama wa misiba, hajekwenda kutoa ubani kwenye Mazishi ya Whitney Houston?, Week ijao atakuwa kwenye Mazishi ya Bingu hapo Malawi. Kila anapoenekana Vasco ujue kuna msiba, NEC wamemchagua kuhudhuria misiba sio kuongoza nchi.
 
Kaenda msibani mnaponda, asingeenda mngesema pia. Wabongo hamna jema
 
Back
Top Bottom