ITV na Kibonzo tata!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV na Kibonzo tata!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Losambo, Apr 11, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Vibonzo au kwa lugha nyingine vikatuni hutumika mara nyingi kutoa ujumbe mbali mbali katika jamii yetu ikiwemo kuelimsha, kuonya, kufurahisha n.k

  Katika muda wa siku mbili yaani Jumatatu na Jumanne niliona kibonzo cha Nathan Mpangala kisha nikashindwa kuelewa hasa alikusudia nini? Ni Simba na Yanga kweli?

  Photo0575.jpg

  Tatizo la lugha hapo yaani wanakuamuana mnaionaje?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ha Mpangala huyo?
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tena mkuu kimerudiwa siku mbili mfululizo kabisa halafu msomaji akimaliza kukitoa anacheka kimtindo hapo nachanyikiwa na tafsiri ya hicho kibonzo.
   
 4. driller

  driller JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwani kukamuana wewe unakuelewaje..? hiyo hasa hasa ina husika na wewe unaelewa nini..!
   
 5. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,217
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  ndo yale yale y vasco da gama'ASIYETAKA KULIWA NAYE HALIII
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  umeme ukatike halafu wakamuane.(umeme si ukakatika utafikiri tanesco walijua kuwa leo temba ntaua by temba)
   
 7. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nadhani ikiwa kuna mechi ya usiku kati ya simba na yanga alafu umeme ukakatika itakuwaje? Kukamua, mechi,..... ni misimu ambayo inaweza kutumika popote kutegemea mktadha na kusudi la mtoa ujumbe. lkn kwa sasa kukamuana ni tata zaidi kutumika hapa.
   
Loading...