Ungelishinda hii lottery ungelifanya kufuru zipi?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
[h=1]Mega Millions $640 million lottery jackpot shared between three tickets[/h] Winning tickets purchased in Illinois, Kansas and at 7-Eleven store in Maryland that stands to receive $100,000 bonus








wengine tayari watatu wamejikusanyia kitita cha $35m kila mmoja wao....................life is good, or is it?




mega-millions-maryland-007.jpg
 
Ningekunywa soda, sayona, azam cola, chunky.......... Teh teh teh teh,........

mipesa yote uimalizie kwenye soda tu.................lol basi hutakaa uzipate
 
Ningegawa kwa watu wenye uhitaji zaidi yangu.

kabla hujazipata unakuwa na busara sana lakini baada ya kuzipata..................mambo huwa siyo shwari tena............
 
Mkuu, tuache utani, hii unachezaje? mwenzenu umasikini unanimaliza wkt ninampango wa kupigania ukombozi wa nchi yetu!!!

tueleze utazitumiaje.........khalafu ushauri nasaha utafuata..............
 
Back
Top Bottom