Nakupenda kwa moyo wote.

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,113
3,114
He means EVERYTHING in our life !

559587_187147048071111_142821199170363_291100_1706032641_n.jpg
 
He means EVERYTHING in our life !

559587_187147048071111_142821199170363_291100_1706032641_n.jpg

HUU NI UJINGA NA UTUMWA WA HALI YA JUU. MIMI NINAVYO JUA KIPINDI CHA YESU CAMERA ZILIKUWA HAZIJAGUNDULIWA KABISA, SASA HIZO PICHA NANI ALIKUWA ANAMPIGA?

- Wazungu wanapiga picha na nyie mnaziabudu, huu ni ujinga, mimi ni mkristo lakini sikubaliani na huu ujinga wa kuabudu picha za wazungu

- KUNA PICHA MOJA NILIWAHI KUONA ETI SHETANI NI MWEUSI
 
HUU
NI UJINGA NA UTUMWA WA HALI YA JUU. MIMI NINAVYO JUA KIPINDI CHA YESU
CAMERA ZILIKUWA HAZIJAGUNDULIWA KABISA, SASA HIZO PICHA NANI ALIKUWA
ANAMPIGA?
- Wazungu wanapiga picha na nyie mnaziabudu, huu ni ujinga, mimi ni
mkristo lakini sikubaliani na huu ujinga wa kuabudu picha za wazungu
- KUNA PICHA MOJA NILIWAHI KUONA ETI SHETANI NI MWEUSI
kwani nani kasema anaiabudu hiyo picha! hiyo ni ishara tu wewe kuonyesha kuwa huyo mtu alifanywa hivi. hata israel kwenyewe kuna picha na sanamu za hivyo nyingi wameziweka kwenye maeneo mbalimbali aliyoishi. Na wanaoabudu jiwe utawasemaje?
 
yesu wangu ninakupenda wewe ni kila kitu kwenye maisha yetu!ijumaa kuu njema!

yesu yupi unazungumzia? Huyo mzungu hapo kwenye picha? Huyo ni mcheza sinema na anaishi holywood marekani nazani hapo alipo anajisikia sana kuona wajinga wanavyo mwabudu kama yesu

huu ni ujinga na utumwa wa hali ya juu. Mimi ninavyo jua kipindi cha yesu camera zilikuwa hazijagunduliwa kabisa, sasa hizo picha nani alikuwa anampiga?

- wazungu wanapiga picha na nyie mnaziabudu, huu ni ujinga, mimi ni mkristo lakini sikubaliani na huu ujinga wa kuabudu picha za wazungu

- kuna picha moja niliwahi kuona eti shetani ni mweusi

confused!!!!!!!
 
HUU NI UJINGA NA UTUMWA WA HALI YA JUU. MIMI NINAVYO JUA KIPINDI CHA YESU CAMERA ZILIKUWA HAZIJAGUNDULIWA KABISA, SASA HIZO PICHA NANI ALIKUWA ANAMPIGA?

- Wazungu wanapiga picha na nyie mnaziabudu, huu ni ujinga, mimi ni mkristo lakini sikubaliani na huu ujinga wa kuabudu picha za wazungu

- KUNA PICHA MOJA NILIWAHI KUONA ETI SHETANI NI MWEUSI

Una point nzuri sana lakini unashindwa kuwaelewa wachangiaji na vilevile umeshindwa kuwafundisha wale wasioelewa suala unalojaribu kulielezea sababu sijaona hata mchangiaji mmoja aliyesema anaiabudu hiyo picha..
 
Umechanganyikiwa unahitaji msaada. Kama kuabudu picha wewe ndio unaabudu picha. Si unaona hata evator yako?
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom