Picha:Lulu Mahakamani

Status
Not open for further replies.

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
attachment.php

Pichani:
Elizabeth Michael ‘Lulu' akiwa katika
Mahakama ya Mwanzo Kinondoni (lol), Dar es Salaam mwaka jana alipokuwa akituhumiwa kumshambulia kwa matusi ya nguoni, mlalamikaji Kilakhaba Aziz.

Msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu' leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la mauaji.
Lulu alipandishwa kizimbani kwa usiri mkubwa akitokea Kituo cha Polisi cha Oysterbay alikokuwa akishikiliwa na kupandishwa kizimbani moja kwa moja bila kuwekwa mahabusu ya mahakama hiyo kama iwavyo kwa washitakiwa wengine wanaosubiri kusomewa kesi zao.

Baada ya kupandishwa kizambani alisomewa shitaka lake na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Elizabeth Kaganda ambapo alisema Mnamo Aprili 7 mwaka huu majira ya saa saba za usiku maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar es Salaam Elizabeth Michael (18) alimuua Steven Kanumba. Katika kesi hiyo mshitakiwa hakutakiwa kujibu lolote isipokuwa alinyoosha kidole na kupinga umri uliotajwa kuwa ana miaka 18 na kusema umri wake ni miaka 17. Baada ya kusomewa shitaka hilo, Lulu alipelekwa gerezani Segerea na kesi yake itasikilizwa tena aprili 23 mwaka huu.

Source:
News - Global Publishers
 
Attachments

  • Lulu Mahakamani.jpg
    Lulu Mahakamani.jpg
    58.9 KB · Views: 4,544
Acha bangi mkuu,picha za zamadamu ndio unatuletea sisi? Tunataka za leo ambazo amevaa Dera(Dila) la njano,mtandio wa pink na red slippers!
 
attachment.php

Pichani:
Elizabeth Michael ‘Lulu' akiwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni (lol), Dar es Salaam mwaka jana alipokuwa akituhumiwa kumshambulia kwa matusi ya nguoni, mlalamikaji Kilakhaba Aziz.

Msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu' leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la mauaji.
Lulu alipandishwa kizimbani kwa usiri mkubwa akitokea Kituo cha Polisi cha Oysterbay alikokuwa akishikiliwa na kupandishwa kizimbani moja kwa moja bila kuwekwa mahabusu ya mahakama hiyo kama iwavyo kwa washitakiwa wengine wanaosubiri kusomewa kesi zao.

Baada ya kupandishwa kizambani alisomewa shitaka lake na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Elizabeth Kaganda ambapo alisema Mnamo Aprili 7 mwaka huu majira ya saa saba za usiku maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar es Salaam Elizabeth Michael (18) alimuua Steven Kanumba. Katika kesi hiyo mshitakiwa hakutakiwa kujibu lolote isipokuwa alinyoosha kidole na kupinga umri uliotajwa kuwa ana miaka 18 na kusema umri wake ni miaka 17. Baada ya kusomewa shitaka hilo, Lulu alipelekwa gerezani Segerea na kesi yake itasikilizwa tena aprili 23 mwaka huu.

Source:
News - Global Publishers

Mkuu umechanganya madesa
Hii picha ya mwaka jana mahakama ya Kinondoni
Unapotosha watu
 
Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni (lol), Dar es Salaam
mwaka jana alipokuwa akituhumiwa kumshambulia kwa matusi ya nguoni, mlalamikaji Kilakhaba Aziz.

Rusha roho . . . .
 
Mkuu acha uongo unaiharibu JF great thinkers hawatakiwi kuwa wazushi bali watu wa data
 
kama uliweza kugundua kua leo kapandishwa kizimbani basi haikuwa siri au usiri mkubwa kama ulivyoeleza hapo juu,na nafikiri pia ungeweza kupata picha yake ya leo kuliko kutuletea zilipendwa. be updated
 
Seriously..., Sometimes we need to be Serious... especially in serious issues.
 
it seems she does't fear caging. she has got used to it. but lets pray that she changes her life.
 
Acheni bange mnajua wehu wengi hawakuja jana kazn had saiz tunatoa vmeo vya jana alafu mnaleta pcha za magazet ya udaku wa mwaka jana!?
 
Great Thinkers maelezo yaliyoko kwenye picha yanajitosheleza. Wala title haijasema ni Picha ya Mahakamani leo ingawa habari yake ny ya leo.

Sasa hasira za nini Wadau mnataka kuniua bure? Ngoja nivute Jack Daniels yangu hapa!
 
Drink responsibly mkuu haya maneno ya watu tu usije na wewe ukateleza.
 
wangesema anaenda kortini leo ingekuwa ni kama jana umati kujaa kumsubiri kw nia zao

bora hawakusema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom