Wapi Ugali NN??

Wapi Ugali NN??

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
DSCF3001.JPG
mASHOSTI HII NDIO MENYU YANGU KUU, HAPO NATAFUTA NDIMU NA CHACHANDU TU
 
Chakula kizuri sana hichi tena ugali wenyewe uwe sembe jeupeeee!
 
Sisi Wasukuma hatuhusudu ugali kwa dagaa, menyu yetu sisi weka hapo ugali kwa mrenda, nzubho, au nkarango hapo utakuwa umetupatia; na ka glasi ka maziwa pembeni!.
 
Sisi Wasukuma hatuhusudu ugali kwa dagaa, menyu yetu sisi weka hapo ugali kwa mrenda, nzubho, au nkarango hapo utakuwa umetupatia; na ka glasi ka maziwa pembeni!.

Ebana eeeh hapo kwenye nkalango umenikumbusha mbali kichizi. Mtu umetoka kupiga jembe kwenye majaluba ya mpunga ukirudi nyumbani menyu ugali, nyama, nkalango,na maziwa ya mtindi. Saafi sana.
 
Ugali wa udaga a.k.a. Muhogo na mtama kwa mbaali unashushia na mtindi hapo sawa.
 
lolloooo jamani nimetamani ugali ungekuwepo hapo lazima ningejialika kwenye hicho kikao kisicho rasmi cha kula SIMA, ugali na Mboga hizo oooooooooooooooh! ni safi sana
 
Back
Top Bottom