Chuo hiki hutoa mafunzo ya namna ya kufa, na ukishakufa hujisikiaje...
kuandaa wasia, kuingia kwenye jeneza na kulala ndani ya jeneza na mwalimu hupita na kufunga majeneza.
Ndugu wanajamvi,
Tunapoelekea katika Sikukuu ya Krismasi na mwisho wa mwaka 2015, mojawapo ya mambo tunayoweza kuyafanya ni kutafakari makubwa yaliyojitokeza mwaka huu, na kuangalia tunayoweza...