Shule ya kifo

SupuyaPweza

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
914
471
Chuo hiki hutoa mafunzo ya namna ya kufa, na ukishakufa hujisikiaje...

attachment.php
attachment.php
attachment.php

kuandaa wasia, kuingia kwenye jeneza na kulala ndani ya jeneza na mwalimu hupita na kufunga majeneza.
 
Attachments

  • death training.docx
    282.4 KB · Views: 87
  • kujifunza kufa 1.jpg
    kujifunza kufa 1.jpg
    65.7 KB · Views: 1,747
  • kujifunza kufa 2.jpg
    kujifunza kufa 2.jpg
    66.4 KB · Views: 1,711
  • kujifunza kufa 3.jpg
    kujifunza kufa 3.jpg
    70.7 KB · Views: 1,702
Chuo hiki hutoa mafunzo ya namna ya kufa, na ukishakufa hujisikiaje...

attachment.php
attachment.php
attachment.php

kuandaa wasia, kuingia kwenye jeneza na kulala ndani ya jeneza na mwalimu hupita na kufunga majeneza.

Naomba link yake niende huko japo kozi ya wiki moja kisha niwaletee mrejesho hapa
 
kifo kinaogopesha lakini sio kufikia hatua ya kuogopa mpaka hatua hiyo. hapo inaonesha wanatoa uoga ila wanajiongezea nuksi ya kulala kwenye majeneza wakati wakiwa hai.
 
China adhabu ya kunyongwa ni kawaida sana, hivyo mafisadi lazima wafanye rehearsal. TZ je?
 
Chuo hiki hutoa mafunzo ya namna ya kufa, na ukishakufa hujisikiaje...

attachment.php
attachment.php
attachment.php

kuandaa wasia, kuingia kwenye jeneza na kulala ndani ya jeneza na mwalimu hupita na kufunga majeneza.

Sio kweli unayo ongea, hii imetumika kwa kampuni husika huko Korea kama 'retreat' kwa wafanyakazi wao kwa ajili ya kuongeza motivation na new spirit
 
Back
Top Bottom