Mbavu zangu wee!

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Hiyo ya mzaramo ndio nimekufa..
 

Attachments

  • 1450606191287.jpg
    1450606191287.jpg
    49.4 KB · Views: 2,727
Dah! Nmecheka sana hasa kwa mangi na mzaramo. Wazaramo ni janga la kitaifa
 
Hii ni ya long time sana inarudiwarudiwa kule jukwaa la jokes
 
Hii ni ya long time sana inarudiwarudiwa kule jukwaa la jokes

Kwa ambao hatukuwahi kuiona hii habari ni mpya kabisaa. Maana hata kitabu ambacho hujawahi kukisoma ni kipya kwako unapokisoma kwa mara ya kwanza
 
sio busara kudharau kabila la mtu mbona hiyo ya upande wa pili humjaandika habari za kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja kwenye phone book zao.
 
Back
Top Bottom