I have a dream....!!!!

I have a dream....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
92kj lieutenants (commandos) kutoka ubora wao
 

Attachments

  • 1436333633052.jpg
    1436333633052.jpg
    11.6 KB · Views: 403
Nini cha ajabu hapo??

nadhani asiyejua maana haambiwi maana. a person's dream doesn't necessarily need to be ya ajabu. but if u were on this other side. of life I'd know what I mean mkuu
 
Waliokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa akafa, walioshi maisha ya liwalo na liwe wakat kamanda anaishi maisha ya ngoja tuone, waliodhibiti pale mtu anataka kuweka mbingu vilaka,,

hawa ndio wale walioishi maisha ya mbwa kala mbwa na nyani akimkana mwanaye, hawa ndio wale waliojaribu kumchokonoa kamanda kwa ufito wakat akiwa amejifunika blanket..


Hahahaaa haya maneno yalikuwa yananitoa machozi hasa kile kipindi cha USHIRIKIANO,UVUMILIVU NA UTIMAMU WA MWILI.
 
Back
Top Bottom