Bangsweezy
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 880
- 198
jamani, huyu ni graduate wa chuo gani, dah, na masomo yote amekuwa akisoma kwa kiingereza miaka yote minne.Lugha ya malikia iyo
Hili ni tatizo sana tu Tanzania. Hakuna English tz,
Huo ni certifacate, degree, diploma, master's, PHD au Doctariate??
Ukute jamaa ana first class......msimbeze atii
Haya mavazi siku hizi yanavaliwa kiholela tu, Pengine jamaa alikuwa anahitimu elimu tofauti na hizo
Hey, he ought to be deprived of his degree immediately before he spreads this rubbish of his to our youngsters. Huyu ati ni mwalimu aliyegraduate mwaka huu.
Walimu wamekufanya nini ndg yangu?
Ualimu siku hizi wanasoma miaka minne?