Kuna Vitu vinaumiza mno

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
299,015
751,650
1450831792777.jpg
 
kweli kabisa mkuu hii kitu inaumiza mioyo sana kwa wenye kujali maisha ya wengine. just imagine hayo maji hata kunawa mikono tu unaweza hairisha lakini dogo ndio anakata kiu hapo. 😢
 
Mshana Jr......njoo nitembelee Yaeda nikufanyie tour kidogo.......nikupeleke Mamarehe.......Sidai......Longido hadi Naibormut.........ndani ndani huko......ili uje uongezee nyama hii thread yako........
 
Last edited by a moderator:

Preta huko si Manyara na Mbulu?? Poa
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni nchi ya Afrika. Kuchimba kisima kimoja ni sh 15milioni.Waziri wa maji ataenda kutembelea
kijiji cha huyo kijana akiwa kwenye v8 ya sh 280milioni na wanakijiji wakiomba wachimbiwe kisima waziri anasema serikali kwa sasa haina hela.(sitaki kuendelea, inatia uchungu sana)

Kigogo mmoja anatumia zaidi ya million tatu kulala kufuliwa nguo na kukandwakandwa mwili
 
Back
Top Bottom