Baba ni Huduma sio kumwaga Mbegu na kukimbia
Watu kibao walisema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa na vibopa si kwa kupenda bali ni kwa security reasons. Utakuta mwanamke anakubali kuolewa na mtu wa hajabu ili tu awe na uwezo wa kusaidia nyumbani au kutunza mpenzi wake wa moyoni huko kwao alikotoka. Atazaa na huyo mpenzi wake, wewe mwenye pesa unadharauliwa na kusingiziwa watoto kuwa ni wako unakubali, Mama akiumwa na kukuachia watoto uwaangalie japo kwa masaa watoto wanalia wakiona sura yako. Na wewe bila kujuwa unadhani kuwa wamemzoea mama yao shinda wewe, kumbe damu hazilingani, wanataka baba yao halisi. Ndiyo maana utawasikia wanaume wakisema na huyu bwana kwa kulia, kila akikaa na mimi yeye hulia tu, hebu nenda kwa mama yako. Ukiona mtoto anakutazama usoni baba yake huku akilia juwa kuna jambo.
Na ndio maana mnakimbilia kusakizia wanaume wasio na hatia siyo? Hivi hamuoni dhambi kweli, mtoto ana tabia za hajabu shinda baba yake anaye mtunza, hana akili, yeye anafikiria kutoroka shule na kufanya ujinga kama baba yake aliyekupa mimba. Baba wa kufikia kila akifoka mtoto ndiyo kwanza anacheka na kushangaa kwa nini anakalipiwa. Kumbe ana dna ya baba kibaka, pressure anapata mtu asiye stahili, ni haki kweli nyie kina mama? Haki ya nani mie kama nakuja kuzaa na demu lazima nipime huyo mtoto kabla hajanizoea....nikigundua siyo wangu, nasubiri usiku ukifika ule mda wa majambazi kuchinja watu namfukuza demu nyumbani yeye na kibaka wake.
Usituoneshe magunia kwa magunia ya mazao na kusema ni mali ya aliyesimama pembeni. Kama kayaiba je?

Tuoneshe mtu akiwa shambani akitumbukiza mbegu kwenye mashimo! Unanielewa? Ndivyo watu wazima tunavyozungumzia mambo haya mazito ya mtoto ni wa nani.
Kumbuka Hao 49% Ni Wale Walioenda Kuthibitisha Doubt Zao,kwamba Wao Pia Hawakuamini Mwanzo Kama Ni Watotot Wao So Lazima Iwe Hivyo
K...*****