Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,945
- 67,564
nani kakwambia kuna uchawi wa mpira bagamoyo na sumbawanga? uchawi una aina zake, mvua,misukule, mpira, pesa,biashara nk, uchawi ni tasnia pana.......Uchawi Hauna Nguvu Kwenye Soka. Hizo Ni Imani Tuu. Mbona Bagamoyo na Sumbawanga Hawana Timu Za Ligi KUU?