Picha za Kukumbukwa 2015

Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
3,523
4,992
Ndugu wanajamvi,
Tunapoelekea katika Sikukuu ya Krismasi na mwisho wa mwaka 2015, mojawapo ya mambo tunayoweza kuyafanya ni kutafakari makubwa yaliyojitokeza mwaka huu, na kuangalia tunayoweza kujifunza ili yatusaidie mwaka unaofuata. lakini pia siyo vibaya kukumbuka yale yaliyotufurahisha, kutuchekesha na hata ya kuhuzunisha. na njia moja ni kupitia kwa Picha zilizojitokeza kwa namna ya pekee. kwa upande wangu, hii picha inababeba ujumbe mzito sana. Nawakaribisha tuongeze picha nyingine za kukumbukwa. tutumie zaidi lugha ya fasihi, siyo lazima kuongea kila kitu moja kwa moja. Karibuni!

attachment.php
 
Attachments

  • zzk.jpg
    zzk.jpg
    21.2 KB · Views: 1,498

Kumbe ni hili -----..,
 
Hii ilikua siku ya usafi, 9 December..!
 
Attachments

  • 1450871415589.jpg
    1450871415589.jpg
    38.2 KB · Views: 307
Back
Top Bottom