Wadada, hiyo ni kazi ya sketi

Wadada, hiyo ni kazi ya sketi

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Ewe dadangu,chunga sana Sketi yako ya material nyepesi isikuletee soo hii!

attachment.php
 

Attachments

  • EMBARASS1.jpg
    EMBARASS1.jpg
    34.2 KB · Views: 5,261
Hapo ndo Wanawake wananishangaza
kumechisha rangi ya chupi na viatu na mkanda..
ili iweje?
nani anaona umemechisha na chupi?
 
Umeshindwa kuelewa Picha. Hapo huyo Dem katoka Chooni akapandisha Chupi na kutoka bila kujichunguza
 
Kwa wenzetu walivyo busy hata hawawezi kumuona labda aliyempiga picha
 
Nimefurahi sana, bidada anaenda lipwa kwa kutangaza aina ya chupi, nyiye mwadhani kajisahao. Yupo kikazi zaidi hapo. Umeona wapi, chupi imachishe na mkanda na viatu. Huwa anaoneshwa nani huko njiani? Basi anakitu anakitangaza hapo si bure
 
Hapo ndo Wanawake wananishangaza
kumechisha rangi ya chupi na viatu na mkanda..
ili iweje?
nani anaona umemechisha na chupi?
Wewe umeona ndo maana ukasema..... usikute alifunua na kuikwamisha pale ousudi ili muone mmechisho
 
Huyo dada wa pembeni atakuwa kamuona..Naona anatabasamu
 
Back
Top Bottom