yahoo hiyo comment hapo fm ina sema eti huyu binti unampenda lakini unashindwa kumwambia, swali langu ni je kwani ukimpenda mtu ni lazima umwambie kuwa unampenda?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.