Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
Khabari zenu wana JF, shikamoni wakubwa!
Me nasumbuliwa na hili suala mda mrefu sasa. Aries ndo nyota yangu ila ninajaribu kufatilia hii nyota sijapata ufafanuzi wa kutosha kwetu sisi wanaume huwa inataka kazi zipi hasa?
Pia suala la mapenzi ndo sielewi kabisa coz sichelewi kumkinai mwanamke na kuachana nae, ni mwanamke wa aina gani hasa anaendana na hii nyota na awe na character zipi hasa?
Tafadhali nisaidieni kwa hili napata shida sana. Ni serious issue, help me please..
Nawasilisha!