Russia kuanguka kama ilivyokuwa USSR

Russia kuanguka kama ilivyokuwa USSR

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
555
Reaction score
661
Serikali ya Russia inaongozwa na MTU mmoja mwenye nguvu sana(Putin) kama alivyokuwa kiongozi wao aliyeipaisha sana Russia baada ya vita kuu ya dunia, Stallin.

Russia imeingia katika uongozi wa dunia na hasa kutokana na nguvu kubwa waliyonayo kijeshi na sasa wameamua kupanua mipaka yao kama tunavyoona Ukraine na sasa ina-zimendea nchi zilizounda umoja wa USSR

Sasa hivi Putin anaweza amua kitu na nchi nyingine kubwa zikapata kiwewe. Wamerudi kwenye uwanja wa kufanya maamuzi makubwa ya kuendesha dunia.

Hofu kubwa ni kwamba haonekani MTU wa mfano wa Putin atakayeweza kuendesha Russsia kama ilivyo sasa. Na aina hii ya uongozi wa ki-dictator hupelekea kila MTU kuwa na woga wa kurithi nafasi. SBB kila anayekuwa na wazo LA kuwa Rais anafutiliwa mbali Kwamba mwenye akili ni mmoja tu!!

Ma-dictator huwa kama wana pua za kunusa ni nani mwenye wazo LA kutaka kurithi kiti cha mfalme na dakika moja hufutiliwa mbali. Tofauti na nchi za ki-demokrasia kama Marekani ambako mfumo huandaa MTU sahihi wa kushikilia nafasi ya juu ya nchi.

Unaweza kuwa ni utabiri lakini kwa kweli Russia haina maisha marefu sana, bila kusahau nchi pinzani kama Marekani wanaikodolea macho sana; wakishindwa Leo huez jua inawezekana tayari copy ya jamaa aliyeangusha USSR iko Russia kuusubir wakati.
 
Unstable countries need strong leaders. Ukiona nchi inaongozwa na one man show ujue haiko stable. Nchi iliyo stable huwa zinaongozwa na taasisi na mifumo imara. Russia, China zote ni unstable countries. Chunguza nguvu kubwa sana zinatumika kuzuia raia wasiwe na access ya habari zitazowafungua vichwa. Hii hali huwa haidumu sababu kuna siku watu watachoka.

Ndipo hapo nchi zinavunjika vipande vipande. Russian federation kuna baadhi ya majimbo Putin anatumia nguvu sana kuyatawala sababu wana mrengo tofauti na mawazo ya kutaka kujitenga, majimbo kama Georgia ni vulnerable sana. Inahitaji power ya hali ya juu sana kuya control.
 
US hajawahi kuwa na ahueni mbele. ya Russia baada ya kuanguka kwa USSR miaka ya 1990's US alifurahi sana!
hakuna nchi iliyoanguka na kurudi kwenye medani haraka kama Rusia
Imerudi kama regional power siyo super power kama USSR.Ona tofauti hapo.
 
Niinyi simlishasema ...Russia ni miserable kiuchumi na vikwazo vitaimaliza kabisa (rejea kauli za viongozi wa awamu ya Obama) kutokana na ujinga wenu wa ku-destabilize Ukraine na kisha kuisingizia Russia? Sasa nchi miserable inaanzaje kuanguka!? Mnashangaza sana.
 
Kwanza nakusahihisha,, Siitwi Purtin , naitwa Vladimir Vladimirovich Putin mtoto pekee niliyehai Wa bwana Vladimir Spiridonovich Putin ,nilizaliwa 7/10/1952 miaka mitatu baada ya vita pili yadunia

Nirudi kwa Mada yako.

Kwasasa njia pekee wanayotumia wamagharibi kujaribu kuniangusha ninjia ya "Destroy from within".

Wamagharibi walipofanikiwa kusambararishs U.S.S.R walifurahia sana , lkn baadae alisikika kiongozi mmoja akisema " Tulikosea kuiacha Urusi iendelee kuwepo. Sasa nilazima tuivunje vunje ili viwe vinchi vidogo Dogo".

Siunajua Urusi ndio nchi kubwa Dunia mpaka sasa. Yaaan kutoka upande Wa magharibi kwenda Mashariki kwa ndege nimbali kuliko kutoka Magharibi kwenda Washington DC.

Sasa njia wsnsyoitumis wamarekan nikunigombanishs na Matajiri wanchi yangu , ambao wanawwkewa vikwazo na kushikikiwa Mali zao,, SASA kwa hofu ys kupoteza utajir wao ,ndo wanaweza kuanza mikakti ya kuniondoa.

Kwakulijua ilo nmeawaomba

[emoji117]Warudishe mitaji yao nchini mwetu.
[emoji117]Naendelea kuhakikisha Magavana Wa majimbo wanakua nivijana wa Intelligence kutoka FSB n.k .

Lkn last but not least ,, mwaka juzi nmeanzisha jeshi maalumu LA ndani ,ambalo lipo responsible namambo yote yaulinzi wa silaha na aman na kupigana na waandamamaji ,,najeshi Hili Taarifa zake zinaripotowa moja kwa moja kwangu Mimi muda wowote.

Kuhusu Rais atakayefuata baada ya 2024 ,,, kweli nitakua nmezeeka ,ila bado itategemea na hali yangu ,, ila utambue,kuna kijana matata alikua Ndio Bodigadi Wangu , saizi nmemchagua kua mkuu wajesh landan ambalo kiuhalisia nilangu , huyu bwanamdogo "Alexey Dyumin" ,Misimamo yake nakwajinsi navyompa somo "Huenda nikamchagua aendelee kuongoza".
 
USA ni rahisi sana kuanguka kuliko uionavyo Russia.

Mfano, Trump amewachosha sana USA kwa miaka hii miwili tu sasa akimaliza hiyo awamu ya kwanza ya miaka 4 labda ikatokea bahati mbaya sana akapata awamu ya pili ya miaka 4 tena (japo probability ya Trump, kupitishwa au kushinda awamu ya pili hesabu zote zinamkataa yaani ni 0.5% out of 100% kwa Trump kurudi tena kama rais) ikafikia miaka 8 kwa ujumla wa awamu mbili basi tambua kabisa USA itadondoka na Russia ataimalika zaidi.

Putin na Russia wanampeleka USA kwa kasi sana tena sasa hivi na Kim Jong-Un hapo NK nao wanavuta makasia yaani, USA hata Putin atoke madarakani bado USA hawatakuwa na mbavu za kuiangusha Russia.

Sasa hivi, mpango wa nukes wa USA umepingwa na washirika wake wote mfano, UK, Germany, France, Japan, hadi China naye amekemea.

Kwa hiyo, anguko la USA ni wazi sana kuliko la Russia.

Na ukiangalia kwa haraka sana mtizamo wa dunia tena unaanza kuamini kuwa mifumo ya Serikali ya Russia iko thabiti kuliko mifumo hii ya USA na washirika wake (EU)
 
Serikali ya Russia ina ongozwa na MTU mmoja mwenye nguvu sana(Purtin) kama alivyokuwa kiongoz wao aliyeipaisha sana Russia baada ya vita kuu ya dunia Stallin.

Russia imeingia katika uongoz wa dunia na hasa kutokana na nguvu kubwa waliyonayo kijeshi., na sasa wameamua kupanua mipaka yao kama tunavyo ona Ukraine na sasa ina-zimendea nchi zilizounda umoja wa USSR

Sasa hivi Purtin anaeza amua kitu na nchi nyingine kubwa zikapata kiwewe. Wamerudi kwenye uwanja wa kufanya maamuz makubwa ya kuendesha dunia

Hofu kubwa ni kwamba haonekani MTU wa mfano wa Purtin atakayeweza kuendesha Russsia kama ilivyo sasa. Na aina hii ya uongoz wa ki-dictator hupelekea kila MTU kuwa na woga wa kurithi nafasi. SBB kila anayekuwa na wazo LA kuwa Raisi anafutiliwa mbali Kwamba mwenye akili ni mmoja tu!!

Ma-dictator huwa kama wana pua za kunusa ni nani mwenye wazo LA kutaka kurithi kiti cha mfalme, na dakika moja hufutiliwa mbali. Tofauti na nchi za ki-demokrasia kama Marekani ambako mfumo huandaa MTU sahihi wa kushikilia nafasi ya juu ya nchi.

Unaweza kuwa ni utabiri lakini kwa kweli Russia haina maisha marefu sana., bila kusahau nchi pinzan kama marekani wanaikodolea macho sana; wakishindwa Leo huez jua inawezekana tayari copy ya jamaa aliyeangusha USSR iko Russia kuusubir wakati
Mkuu
Urusi sio kama uidhaniavyo
 
Mkuu
Urusi sio kama uidhaniavyo

vous

Bonjour Mon ami.

Mkuu,
Ni kweli watu wengi hawaielewi Russia kuwa kwa sasa ipo vizuri zaidi.

Tena, Putin yupo pale ila pana watu wazito, walio na misimamo migumu zaidi hata ya Putin alivyo kiasi hata baada ya kizazi cha3 hadi 4 Russia itakuwa imara zaidi kuliko USA ambayo moto unafukuta kwa kasi baada ya Trump kuteuliwa kuwa rais.
 
Unstable countries need strong leaders.Ukiona nchi inaongozwa na one man show ujue haiko stable.Nchi iliyo stable huwa zinaongozwa na taasisi na mifumo imara.Russia,china zote ni unstable countries.Chunguza nguvu kubwa sana zinatumika kuzuia raia wasiwe na access ya habari zitazowafungua vichwa.Hii hali huwa haidumu,sababu kuna siku watu watachoka.Ndipo hapo nchi zinavunjika vipande vipande.Russian federation kuna baadhi ya majimbo Putin anatumia nguvu sana kuyatawala sababu wana mrengo tofauti na mawazo ya kutaka kujitenga,Majimbo kama Georgia ni vulnerable sana.Inahitaji power ya hali ya juu sana kuya contral.
Inaonekana huijuiii Russia, hamna jimbo linaitwa Georgia bali Georgia ilikuwa ndani ya USSR na sasahivi ni nchi inajitegemea.
 
Putin anamuangalia kwa macho makali sana Sergei Shoigu ambae walikaa na Pompeo kajificheni hahahaha FSB wanamlook look kwanza hahahah
 
Sergie Kuzhugetovich shoigu anaangaliwa sana na macho yote na Flora Siera Bravo tangu alipokaa kajificheni na macho ya Paka, hahahah Putin hakupenda na hajakohoa mpaka leo
 
Back
Top Bottom