Zijue Teknolojia 10 zilizovumbuliwa na wanawake

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
young-woman-working-computer-Feature_1290x688_MS-660x400.jpg

Mara nyingi michango ya wanawake katika sekta muhimu kama Teknolojia na sayansi haionekani lakini historia inaonesha jinsi gani wanawake walivyotoa mchango mkubwa hasa katika karne ya mapinduzi ya viwanda.
Leo nimeona nikuletee hii listi ya wanawake waliotoa mchango mkubwa katika kufanya vumbuzi mbalimbali za kisayansi duniani.

1:Florence Parpart.

grid-cell-10070-1407767720-4.jpg

Mwaka 1914 Florence Parpart alivumbua friji la kisasa linalotumia umeme ambapo uvumbuzi huo uliweka rekodi ya dunia baada ya kuvumbuliwa na mwanamke.

2:Marie Van Brittan.

cctv1.jpg

Anajulikana zaidi kwa mchango wake mkubwa katika uvumbuzi wa kamera ya cctv mwaka 1969,,ambapo ugunduzi huu aliufanya baada ya kukithiri kwa uhalifu katika jiji la Newyork.

3: Stephanie Kwolek .

pjimage-1-2.jpg

Stephanie Kwolek atakumbukwa kwa uvumbuzi wake wa material iliyotumika kutengeneza bullet proof.

4:Hedy Lamarr’s .

pjimage-8.jpg

Ni mwafizikia aliyebobea katika maswala ya mawasiliano ambapo aligundua teknolojia ya wireless iliyo saidia kuanzishwa kwa wiFi na mfumo wa GPS.

5:Josephene Cochrane.

pjimage-7.jpg

Mwaka 1887 Josephene Cochrane alivumbua machine ya kuoshea vyombo au dish washer ambazo alikua akiziuza mahotelini mwaka mmoja baadae alifungua kiwanda chake.

6:Letitia Gee.

1200px-Syringe2.jpg

Mwaka 1899 Letitia Geer Alivumbua bomba la sindano na kubadilisha historia ya sekta ya afya milele.

7: Dr Maria Telkes.

grid-cell-20816-1407768835-28.jpg

Dr Maria Telkes mwaka 1947 alijenga nyumba ya kwanza duniani yenye mfumo wa umeme wa jua au solar energy.

8:Maria Beasely .

grid-cell-29322-1407767692-4.jpg

Mwaka 1886 Maria Beasely alibuni maboya ya kuogelea au life jackets baada ya kukithiri vifo vya baharini , ni uvumbuzi uliopongezwa na watu wengi na kumfanya Maria Beasely kua mwanasayansi mwenye jina kubwa.

9:Dr Shirley Jackson

grid-cell-14271-1408526746-3.jpg

Ni mwanafizikia aliebuni nyaya au fiber cable zinazotomika leo hii kwenye mitandao ya simu, pia uvumbuzi wake mwingine ulio mjengea jina ni pamoja na machine ya fax, mfumo wa kusubirisha mtu kwenye simu au call waiting.

10:Ada Lovelace.

grid-cell-12664-1407768274-18.jpg

Unaweza usiamini lakini computer programmer wa kwanza kabisa duniani ni mwanamke ,Ada Lovelace alikua mtu wa kwanza kubuni program mbalimbali za computer.
 
wanawake wote hao ni wa asilia za injee je bara afrika wanawake wamefikia wapi,wamevumbua nini kina mama zetu,afrika jamani lini tutafika ?
Tatizo hatuna utaratibu wa ku document..,patents etc kwa ujumla mfumo wetu wenyewe unatuathiri

Ni kawaida sana kwa mzungu kuchukua wazo lako mkiwa kwanye discussion na kujimilikisha(kwa mazingira ya sasa) [naongea kwa uzoefu].
Kwa hiyo sii kwamba hakuna wavumbuzi bali ni mfumo unaofanya waafrika wasisikike sana.

Mabadiliko hasa kwenye mfumo mzima wa elimu kuanzia ngazi za chini ni muhimu sana.
 
SIJAONA HATA MWANAMKE WA KICHINA HATA MMOJA.KWELI WACHINA WEZI MNO WA TEKNOLOJIA.KILA KITU WANAIGA TOKA KWA WAZUNGU AFU HAWAWAPI CREDIT WAZUNGU
Tuwashukuru.. Haya mapinduzi na ukuaji mkubwa wa teknolojia kwa bei nafuu imechangiwa na wao..
 
young-woman-working-computer-Feature_1290x688_MS-660x400.jpg

Mara nyingi michango ya wanawake katika sekta muhimu kama Teknolojia na sayansi haionekani lakini historia inaonesha jinsi gani wanawake walivyotoa mchango mkubwa hasa katika karne ya mapinduzi ya viwanda.
Leo nimeona nikuletee hii listi ya wanawake waliotoa mchango mkubwa katika kufanya vumbuzi mbalimbali za kisayansi duniani.

1:Florence Parpart.

grid-cell-10070-1407767720-4.jpg

Mwaka 1914 Florence Parpart alivumbua friji la kisasa linalotumia umeme ambapo uvumbuzi huo uliweka rekodi ya dunia baada ya kuvumbuliwa na mwanamke.

2:Marie Van Brittan.

cctv1.jpg

Anajulikana zaidi kwa mchango wake mkubwa katika uvumbuzi wa kamera ya cctv mwaka 1969,,ambapo ugunduzi huu aliufanya baada ya kukithiri kwa uhalifu katika jiji la Newyork.

3: Stephanie Kwolek .

pjimage-1-2.jpg

Stephanie Kwolek atakumbukwa kwa uvumbuzi wake wa material iliyotumika kutengeneza bullet proof.

4:Hedy Lamarr’s .

pjimage-8.jpg

Ni mwafizikia aliyebobea katika maswala ya mawasiliano ambapo aligundua teknolojia ya wireless iliyo saidia kuanzishwa kwa wiFi na mfumo wa GPS.

5:Josephene Cochrane.

pjimage-7.jpg

Mwaka 1887 Josephene Cochrane alivumbua machine ya kuoshea vyombo au dish washer ambazo alikua akiziuza mahotelini mwaka mmoja baadae alifungua kiwanda chake.

6:Letitia Gee.

1200px-Syringe2.jpg

Mwaka 1899 Letitia Geer Alivumbua bomba la sindano na kubadilisha historia ya sekta ya afya milele.

7: Dr Maria Telkes.

grid-cell-20816-1407768835-28.jpg

Dr Maria Telkes mwaka 1947 alijenga nyumba ya kwanza duniani yenye mfumo wa umeme wa jua au solar energy.

8:Maria Beasely .

grid-cell-29322-1407767692-4.jpg

Mwaka 1886 Maria Beasely alibuni maboya ya kuogelea au life jackets baada ya kukithiri vifo vya baharini , ni uvumbuzi uliopongezwa na watu wengi na kumfanya Maria Beasely kua mwanasayansi mwenye jina kubwa.

9:Dr Shirley Jackson

grid-cell-14271-1408526746-3.jpg

Ni mwanafizikia aliebuni nyaya au fiber cable zinazotomika leo hii kwenye mitandao ya simu, pia uvumbuzi wake mwingine ulio mjengea jina ni pamoja na machine ya fax, mfumo wa kusubirisha mtu kwenye simu au call waiting.

10:Ada Lovelace.

grid-cell-12664-1407768274-18.jpg

Unaweza usiamini lakini computer programmer wa kwanza kabisa duniani ni mwanamke ,Ada Lovelace alikua mtu wa kwanza kubuni program mbalimbali za computer.

Hivyo kati ya hawa wote kuna aliyeolewa? Usikute ni mabikira!
 
wanawake wote hao ni wa asilia za injee je bara afrika wanawake wamefikia wapi,wamevumbua nini kina mama zetu,afrika jamani lini tutafika ?

Wa kiafrika wnagundua mapishi....kuiba waume za watu...(kidding )
 
Back
Top Bottom