Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa.
Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli...
Supernatural power ni nguvu ya asili ambayo ni matokeo ya ukamilifu wa mifumo na vitu vinavyounda mazingira. (Mazingira hai na mazingira mfu).
Nakubaliana na uwepo wa Supernatural power lakini...
Amani ya Bwana iwe Nanyi!
Nimezaliwa katika familia ya kikatoriki nikitimiza yote mafundisho ya Imani &dhehebu langu kama ubatizo komnyo,kipaimara na Ndoa.
Pamoja na hayo yote nilitaka kujifunza...
Sukubasi ni shetani jike ambalo hutokea kwa njia ya ndoto na huwa na umbo la kuvutia sana la mwanamke mrembo kijana ili aweze kutongoza wanaume nakufanya nao ngono....!
Lakini kiuhalisia...
MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHIS SYKES (1924 -1968)
Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika na Mohamed Said
Pitio la Kitabu
Kitabu hiki...
Nawasalimu wote katika ukurasa huu pendwa. Watu wengi wamekuwa wakiteseka kwa kuondokewa na wapendwa wao kwa ghafla pasipo kujua kuwa tayari walishapewa taarifa sema walishindwa kuzitafsiri.
Leo...
Kwanini nasema life is spiritual..
Kila jambo linaanzia rohoni
Usipoishugulisha akili (nafsi) yako kujua hivi vitu jiandae kuwa mtumwa, tena mtumwa haswa
Mtumwa wa mapenzi, mtumwa kifedha, na...
Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.
Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au...
Habari wadau...naleta kwenu conspiracy theory hii ili tuijidali naamini humu JF kuna wajuzi zaidi....who is really behind the death of 2PAC. Je ni Natorious B.I.G au Suge Knight...??
Wakati nakua...
Najua hili somo litakuwa refu sana na lisiweze kuisha hata mwaka huu. Nitajitahidi sana kuwaandikia kuhusu Wagiriki, walipoanzia mpaka sasa hivi, ni kwa namna gani waliwahi kuitawala dunia, moja...
Optical illusion contains secret image that reveals a lot about your personality – but what do you see first?
The-sun.comAug 5, 2023 3:08 PM
THIS mind-bending optical illusion contains a secret...
DALILI KUBWA 20 ZA MTU KUWA NA UCHAWI MWILINI
Watu wengi wamekuwa wakirudishwa nyuma kimaisha na kujikuta wakiangukia pua bila kujua chanzo nini. Wachawi wana mbinu kali hasa wanapotaka...
Na:Abdull Najad Faiq
Heshimu mawazo yangu nitaheshimu mawazo yako tushindane kwa hoja, ndivyo ninavyoweza kuianza makala hii
Ulimwengu tulio nao umeshapitia katika zama nyingi tofauti tangia...
Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake.
Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni
i. Kupewa maelekezo...
Huu Uzi naomba wanasaikolojia na wanabaiolojia(neuroscientists) waje kuhakiki maana nitaenda kupublish research.
Utangulizi:
Unajua asilimia kubwa ya Akili na mawazo unayowaza iko nje ya ufahamu...
Ugaidi ni nini?
Ugaidi ni kule kuharibu Mali za watu, kujeruhi na kuua raia wasio na silaha makusud ili kufanikisha malengo ya kisiasa au kimrengo. mfano Al qaida, Harakat Al shababu Al mujhedn...
Hiki ndicho kinaelezwa kwa mujibu wa Historia.
Je, ni kweli ni Israel au Marekani ndio waliratibu hayo mapinduzi na Kwa maslahi yapi hasa?
Kama hivi ndivyo, Wazanzibari wasahau kinachoitwa nchi yao.
If you really thought your God was watching over everything and you genuinely trusted in his "Plan"
You wouldn't be praying in the first place.
A person who prays is the one who thinks that God...
HOJA DHAIFU ZA WENYE MASHAKA KUHUSU MUNGU.!
1)Dini zililetwa na Wakoloni ili kututawala sisi Waafrika, ili Wakoloni wachukuwe Rasilimali zetu.
2)Hakuna Mungu, isipokuwa ni namna ambavyo watu wa...
Kuna upotoshaji mkubwa sana kwamba ukristo ni dini ya wazungu. Huo sio ukweli.
Waafrika wa Misri na Ethiopia wametajwa mara nyingi zaidi kwenye biblia kuliko hata warumi ambao tunawaweka kwenye...