Yesu na Maria Magdalena
Watu wengi wanajua hadithi ya Yesu wa Nazareti kutoka kwa Biblia ya Kikristo. Alizaliwa huko Bethlehemu, mwana wa Mariamu, ambaye alikuwa bikira na ambaye alimchukua Yesu...
SOMO: FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA KWA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU
Kumb 33:1-9, Mwanzo 49:3-7, 1Kor 2:10
Kila mwanadamu aliyeumbwa na Mungu Aliye Hai, ameumbwa na nguvu maalumu kutoka mbinguni...
Soma hii kwanza kabla sijaendelea ili upate msingi wa kile nitakachoandika
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu - JamiiForums
Nitatoa mifano michache lakini kwanza pata picha ya...
SEHEMU YA II
Pia soma sehemu ya I
Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?
HUENDA LEORNARDO DA VINCI ALIUHADAA( danganya) ULIMWENGU...
Afrika ni Bara la pili kwa ukubwa duniani pamoja na kuwa na wakazi wengi huku likiwa linakaliwa na Waarabu, pamoja na Weusi (Blacks/Negro) wakitenganishwa na Jangwa la Sahara. Waafrika Weusi...
Wale wazee wa "tafuta pesa wewe"
Kama sijakosea tumegawanyika katika makundi haya:
■masikini wa kutupwa
■masikini wa kawaida
■mwenye nafuu katika maisha ■mwenye nafuu zaidi
■mwenye nafuu maradufu...
Mmeshindaje wanaJF wenzangu?
Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek...
Prolonged exposure to the same work environment can breed stagnation and limit professional growth.
Working with the same colleagues for extended periods can lead to ingrained stereotypes and...
kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokana na kutwezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari
1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati?
Hapa ndio kama Mungu alipatambua...
Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake,
Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa...
Ooh!
Sawa kabisa.
Usipoelewa sasa, utaelewa baadaye.
Basi bhana, Mfalme Nebukadneza katika fahari yake, akawa anatembea kwenye kuta za mji wa Babeli huku akijisifu namna alivyoiboresha Babeli...
Hakuna jambo jipya kuhusu mauaji ya mtu maarufu.
Ni miongoni mwa njia zilizotumika kuwaondoa ulimwenguni watu waliokuwa na uwezo mwingi am watu hatari.
Lakini wauaji wengine walitumia njia za...
Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama...
Kwa kipindi kirefu sasa nimesikia mafundisho ya kwamba dunia hii ni kifungo cha nafsi na roho za watu... na pia wapo watu mahsusi kwa kazi ya kufungua hizi nafsi na roho zilizofungwa.
Kwanza...
Hi Kings and Queens.
Nimejiuliza swali hili baada ya kusikia nchi kama Ufaransa na Marekani kuwa na majeshi katika ardhi za nchi nyingine.
Naomba kujifunza kwa kujibiwa maswali haya:-
1. Hawa...
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi...
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako.
Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake?
Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s
0743781910
Kamwe...
Wanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million...
Kuna nadharia zaidi ya milioni moja kutoka mataifa na meaneo mbali mbali yenye kusimulia kuhusu uwepo nguvu isiyo ya kawaida , nguvu yenye uwezo wa kuumba na kutoa uhai.(supernatural power )...
Habari watu wangu wa nguvu,
Tangu hapo awali technolgia imekuwa inakua kwa kasi kubwa sana kiasi cha kuwa na akili bandia kutumia roboti kufanya kazi na shughuli na kijeshi na intelligence...