(Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC)
Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi .
Hata hivyo inafahamika...
The Galactic habitable zone au Goldlocks zone ni eneo karibu na nyota (sunli-like) ambapo hakuna joto sana na sio baridi sana kwa maji kuweza kuwepo kwenye uso wa sayari zinazozunguka. Fikiria...
Wengi tumekuwa na mawazo ya kuwa dunia inalizunguka jua ambalo limetulia sehemu moja halizunguki wala kutembea ila kiuhalisia mambo yapo tofauti na unavyofikiria. wakati dunia na sayari zingine...
Uzi huu unakusudiwa uwe ni endelevu na uwe unapokea taarifa mpya mpya kila huo muda unavyokaribia.Kwa sababu imeelezwa kuwa matayarisho yanaendelea kukutana na wenzetu nje ya dunia.
Wanasayansi...
Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi
Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake...
Wote tunajua kuwa binadamu aliumbwa na MUNGU na kutuma rangi, jamii na mataifa tofauti tofauti hii ni katika dini ya kiislamu, wakristo na wayahudi, wana sayansi wakaja na theory yao kwamba...
ULIMWENGU WA ROHO
Ni sehemu ambayo nafsi (soul's) mbili hukutana pamoja.
Ni kweli kwamba kila nafsi hurudi kwenye ulimwengu wa roho Ila dini imetufanya tufikirie zaidi kuhusu mbingu na peponi na...
Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi,
Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja...
Maswali ya kujiuliza:
Kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa?
Je, huu mradi ni kipaumbele cha Taifa?
Je, ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile...
10 Countries that would be Impossible to Invade
For many reasons some countries they say, can never be invaded. It is probably because of the geography or because their armies and people are so...
Reffences,
Yuri Drozdov (the most ruthless spy catcher in kgb history) CIA na M16 walimfata wajue anafanyaje kuwanasa. Kipindi cha NATO NA USSR.
Niliskia Kuna nchi moja africa ame mjazia mwenzie...
Hi Guys!
Katika kila galaxy kuna super massive Black Hole at the centre. Black Hole sio nyeusi kivilee kama jina linavyotaja.
Black Hole ina emitt radiations zinazoitwa Hawking radiation. Sifa...
Jina la kitabu: From Third World to First World The Singapore Story 1965-2000
Mwandishi:Lee Kuan Yew
Mchambuzi: Nanyaro EJ
Utangulizi
Nimeandika kitabu hiki kwa ajili ya kizazi kipya cha...
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe
By Brandon Specktor, Senior Writer | October 17, 2018 04:23pm ET
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No...
Napoangaliaga angani wakati wa usiku huwa naona nyota zingine ambazo hazina mwanga wa rangi moja,yan inabadilika badilika mara nyekundu,kijan,bluu.
Je hizi nyota ni za aina gani? mana kuna mtu...
Umewahi kuwa kwenye mazingira au hali Fulani, alafu una ikimbuka kwa karibu asilimia 90, unahisi kama hiyo siku na wakati unajirudia, unaweza otea hata kitu kinacho fuata baada ya sekunde kadhaa...
Kuna wakati unahisi mambo hayaendi, hasa katika masuala ya fedha na kipato. Unaona unapambana kwa bidii lakini maendeleo ni kama vile hayaonekani.
Unahisi umerogwa siyo?
NATAKA kukwambia UKWELI...
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Hii ni kwamjibu Sensa ya 27...
DHAMBI YA ASILI NI NINI?
1) ... Ni kujamiiana labda?
lakini mbona tumeambiwa tuzaane tuijaze dunia? ... sasa tunazaanaje bila ngono?
.
.
.
NATAFUTA BADO!
...lakini Katika kufikiria kidogo ninaona...
Nimefikiria sana mateso wanayopata wafiwa pindi wapenzi wao wanapofariki, hubaki na majonzi kwa muda mrefu wakikumbuka enzi za uhai wake, kuna baadhi kutokana na ukaribu waliokuwa na marehemu nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.