Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habari wana JamiiForums Karibuni katika uzi maalum ambao utakuwa unaelezea kwa kuna elimu ya Namba(Numerology). Michango yenu ni muhimu sana wadau wote wenye uelewa wa elimu ya namba maana humu...
8 Reactions
25 Replies
16K Views
Ilikuwa majira ya saa saba usiku na dakika 37, tarehe 31 July 2024, ndani ya jiji la Tehran nchini Iran. Mlipuko mkubwa ulisikika sehemu ambayo daima dumu usingetarajia. Mlipuko ule ukaondoka na...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo. Nauliza kwamba Forensic Investigation wanao uwezo wa kugundua maandishi kwenye soft copy kama yamebadilishwa kutokana na original document? Yaani mfano barua iliandikwa kuhusu...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
WAKALA WA KUZIMU ALIYETUMWA NA MAFIA Kuna mambo ambayo tumezoea kuyaona kwenye filamu, tukaishia kufurahia, kusimuliana na kukumbushana. Mambo haya wakati tunasimuliana huwa tunaamini yapo tu...
44 Reactions
121 Replies
20K Views
Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo...
12 Reactions
254 Replies
15K Views
SEHEMU YA KWANZA. Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians. Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe...
40 Reactions
1K Replies
159K Views
JICHO LA TATU Watu wengi huamini kwamba Jicho la tatu ndio mwisho wa maelezo katika Meditation ama ndio moja kati ya mafanikio makubwa katika Meditation lakini kuhusu hili jibu ni HAPANA. Safari...
17 Reactions
81 Replies
46K Views
Habar za jion wakuu, I hope mko good. Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na...
16 Reactions
153 Replies
6K Views
Parental Advasory: 18+ MATES Hapo zamani dunia ilipitia kipindi butu/kibaya cha maisha ambapo dunia ilikua imesimama katika kila Nyanja ya maendeleo ya maisha ya mwanadamu kiliathiri zaidi bara...
60 Reactions
138 Replies
32K Views
Sasa, wakuu, hebu leo naomba tuzungumzie ksidogo kuhusu dini. Regardless ya definition yako ya Mungu au uchaguzi wako wa Mungu yupi wa ukweli, au hata kama huamini Mungu yupo. Bado haipingi uwepo...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
STORI YA KUFIKIRIKA NA CHATGPT Kabla sijaanza na mada itabidi kwanza nielezee kwanza maana na baadhi ya vitu kBL sijatoa experience yangu ndani ya mijengo ya FBI na later kwenda CIA nchini...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Proxima Centauri: The Closest Star with Potential for Life Natumai mnaendelea vizuri! Kila mmoja wetu anahitaji kusoma na kujifunza kuhusu ulimwengu tunaoishi. Kwa hivyo, ninawaahidi kuwa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Salam wanaJF! Mwanamama Karen Armstrong alifanya utafiti wa miaka mingi kuhusu chimbuko na mabadiliko ya dhana ya Mungu [Ieleweke ni dhana ya Mungu sio Mungu - Concept of God and Not God]. Baada...
9 Reactions
1K Replies
84K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
113 Reactions
310 Replies
53K Views
Wazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile. Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Hello bosses and roses. Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani...
17 Reactions
52 Replies
3K Views
Hivi unajua kuwa dunia ina North pole mbili na South pole mbili, ambazo moja ni za magnetic na zengine na za geograpic. Magnetic North poles na South pole ndizo zinazosaidia kwenye kuzuia mionzi...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Wale wapenzi wa cartoon hapa mtakuwa mshajua cartoon ya the simpsons. Kipindi hiki kilianza : 17 Desemba 1989 Mtayarishi wa kipindi: Matt Groening Mtunzi huyu yupo nyuma ya nani kueleza wakati...
25 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom