Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Yesu wa Nazareth WANAZUONI wengi duniani, bado wanaumiza vichwa kuhusu tarehe sahihi aliyozaliwa Yesu Kristo, ambaye ni Nabii wa Wakristo. Miaka nenda rudi, vitabu vingi vimeandikwa na makundi...
11 Reactions
169 Replies
13K Views
FUMBO MFUMBIE MJINGA LUKA 17:20-21 Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela Kabla ya yote...
15 Reactions
190 Replies
25K Views
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje (whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa...
44 Reactions
532 Replies
56K Views
Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo. Ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kaskazini mwa nchi ya Israeli, kwenye miteremko ya milima ya Golani, (Golan Heights) ndani ya kijiji kiitwacho Gamala, katika jimbo la Galilaya, alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Yuda...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Niliwahi kusoma siku za nyuma sana kuwa kuna kikundi cha watu (illuminat) walianza mipango ya kuanzisha era mpya duniani itakayobebwa na mpango unaojulikana kama New World Order (NWO). Wao...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Peter Noni na Rostam ni wabia wa biashara (Vodacom). Peter Noni ni shahidi wa serikali katika kesi za EPA zinazoendelea. Alikuwa ni bosi wa kina Imani Mwakosya, Esther Komu na Bosco Kimola. Katika...
3 Reactions
183 Replies
33K Views
Je, umewahi jiuliza imekuwaje vitu tofauti vya asili vinakuwa na umbo au muundo unao fanana? Sababu ni nini? Je Asili imetokea kama coincidence? Twende sambamba... Picha uzionazo hapo juu...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
DNA, VINASABA Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
SIXTH TABLET OF LOST BOOK OF ENKI. (THE CREATION OF FIRST HUMAN BEING) Mwandishi OLYME SONGO III STUDENT A MEMBER OF JAMES KORDY KASHIRINA TEAM. Mara ya mwisho tuliona viongozi wakipigwa na...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini...
39 Reactions
755 Replies
22K Views
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi... Sasa amekua kinara katika mada zote...
38 Reactions
443 Replies
68K Views
Awali, Tanzania na Malawi walikubaliana kutatua mgogoro huu kwa kutumia njia ya mazungumzo ya pande mbili ambapo walikubaliana kutafuta washuluhishi wanaokubalika na Pande zote mbili. Wasuluhishi...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Karibu kila mtu amewahi kujiuliza swali hili. Kwa nini serikali isi-print fedha nyingi na kuwagawia wananchi ili waondokane na umasikini? Ni kweli, kila nchi ina uhuru wa kuamua ichapishe kiasi...
26 Reactions
29 Replies
3K Views
Watu hawa wanatokea karne nyingi sana nyuma katika maisha ya ulimwengu huu; wanajielewa , wapo very organized dunia nzima na hawabahatishi katika mikakati yao dhidi ya ubinadamu na Mwenyezi Mungu...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Ukifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa... Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+, Hii ni baada...
10 Reactions
31 Replies
18K Views
Kwa nchi ya Egypt kama kuna Farao alieitikisa Misri akiwa hai na na kuendeleza ubabe hata akiwa mfu kaburini basi alikuwa ni mtoto mdogo aliejitwalia ufalme akiwa na miaka tisa tu kutoka kwa baba...
65 Reactions
164 Replies
34K Views
Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya...
13 Reactions
215 Replies
64K Views
Barua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini. Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na...
41 Reactions
482 Replies
68K Views
Back
Top Bottom