Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote...
Awali, Tanzania na Malawi walikubaliana kutatua mgogoro huu kwa kutumia njia ya mazungumzo ya pande mbili ambapo walikubaliana kutafuta washuluhishi wanaokubalika na Pande zote mbili. Wasuluhishi...
Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa...
Karibu kila mtu amewahi kujiuliza swali hili.
Kwa nini serikali isi-print fedha nyingi na kuwagawia wananchi ili waondokane na umasikini?
Ni kweli, kila nchi ina uhuru wa kuamua ichapishe kiasi...
Watu hawa wanatokea karne nyingi sana nyuma katika maisha ya ulimwengu huu; wanajielewa , wapo very organized dunia nzima na hawabahatishi katika mikakati yao dhidi ya ubinadamu na Mwenyezi Mungu...
Ukifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa...
Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+, Hii ni baada...
Kwa nchi ya Egypt kama kuna Farao alieitikisa Misri akiwa hai na na kuendeleza ubabe hata akiwa mfu kaburini basi alikuwa ni mtoto mdogo aliejitwalia ufalme akiwa na miaka tisa tu kutoka kwa baba...
Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya...
Barua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini.
Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na...
Natumai mko poa pamoja na hizi tozo[emoji1].
Mind-body dualism hii ni dhana kwamba akili(mind) na mwili(body) wa binadamu ni vitu viwili tofauti kila kimoja kinajitegemea kivyake.Dhana hii ilikua...
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni...
Hivi kuhusiana na masuala ya 'public interest' serikali ilishindwa kulitwaa eneo hilo kwa ajili ya kuwekeze huo mradi wa jamii. Ebu fikiria kama tungekuwa na chuo na kikosi cha zimamoto maeneo ya...
Ndugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe...
Najua hii topic haitokuwa popular na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali
Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?
Mimi nilikuwa...
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba...
1. Ozil na Ferrari
Enzo Ferrari mwanzilishi wa ferrari ambaye Kisura anafanana na Mchezaji wa mpira Mesut Ozil alifariki Mwaka ambao Ozil alizaliwa.
2. Lincoln na Kennedy.
Maraisi wawili wa...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Ndugu zangu,
Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake...
Habari wana JamiiForums
Karibuni katika uzi maalum ambao utakuwa unaelezea kwa kuna elimu ya Namba(Numerology). Michango yenu ni muhimu sana wadau wote wenye uelewa wa elimu ya namba maana humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.