Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wale wataalamu wa mambo ya kidini awe Muislam au Mkristo au hata Mhindu naomba kueleweshwa kuhusu Peponi na Jehanamu. Imekua kawaida ya binadamu kujizungumzia yeye mwenyewe kwamba ndio ataenda...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Karibu tena katika mwendelezo wa Sayansi ya kiroho. Wanadamu na vitu vyote vilivyo hapa duniani ni Energy. Tunaweza kusema kuwa ni vibration. Na katika kwa mfumo wa consciousness hapa duniani...
7 Reactions
30 Replies
10K Views
Kama nilivyosema wakati nafungua huu mjadala kuwa nadharia ya uwepo wa binadamu imejaa utata mtupu. Katika dini tulifundishwa kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na Eva, na nilipokuwa...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wataalamu wa mambo ya vita tuambieni vita kati ya China na USA itapigwaje maana wako mbali sana maelfu ya kms Je watatumia IBM intercontinental ballistic missiles au maana hata Yale mameli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KIKOSI cha wabunge kikiongozwa na Naibu Spika, Job Ndugai, kimesafiri kwenda jijini London, Uingereza, kukutana na Bunge la makabwela la nchi hiyo, ili kuongeza ushawishi na hatimaye mabilioni ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika kitabu cha Gideon Spies kilichowekwa na mdau mmoja wa JF nimejaribu kukisoma na nimeona nishirikishe wadau mambo kadhaa yaliyonivutia hasa katika kuundwa kwa taasisi maarufu ya kijasusi...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Jeshi la Wachina linakuja, wako wengi. Kwenye moja ya picha za magazetini hii leo, inamwonyesha Rais wetu akiwa amezungukwa na Wachina. Rais amevalia ' Kijamaa', lakini Wachina...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Wachawi Mandondocha Na Misukule ya Kisiasa Wengi wanaweza kukishangaa kichwa cha habari hapo juu, kiukweli ninachotaka kukizungumzia ni hao hao Mandondocha na Misukule wa Kisiasa. Wengi wetu...
3 Reactions
6 Replies
7K Views
Ndio waliweza (wazungu) kuunda vitu wakiwa hawana hata picha ya "kugerezea" lakini sisi waafrika/watz tunashindwa kuunda vitu wakati tunaweza kuunda kwa "kugerezea" vya wenzetu! hii wewe...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu, Hivi ni kwa nini baada ya shambulio la sept 11 kule Marekani, kuna taarifa kuwa watoto wa mfalme wa SaudI Arabia walikufa vifo tata katka matukio matatu tofauti ndani ya saudia...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Happiness Katabazi ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA,) Togolai Kimweri anayekabiliwa na mashtaka matano ya matumizi mabaya ya ofisi na mwenzake, ameieleza...
8 Reactions
150 Replies
26K Views
Nilikuwa naangalia Documentary moja inaitwa Zero Days. inaelezea namna Marekani na washirika wake waliweza kushambulia mitambo ya nyuklia ya Iran kwa kutuma kirusi cha kompyuta (STUXnet). kirusi...
15 Reactions
84 Replies
8K Views
Happy New Year wana JF, Utaratibu ukoje wa kuripoti kuwa kuna jasusi au mtu unayeshuku au una uhakika kuwa ni spy anakusanya taarifa nchini kwa manufaa ya taarifa nchi anayoitumikia? Je usalama...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Tender: Printing of Bank notes General Information Country: International Publication Date: Dec 18, 2008 Deadline: Jan 13, 2009 Funding Agency: World Bank Buyer: BANK OF TANZANIA SECRETARY TO THE...
0 Reactions
69 Replies
19K Views
Mbukwenyi. Jf Wajuvi wa mambo wanijuze maana ninavyojua mimi kanisa katoliki duniani lina serikali yake katika mji wa Vatican nchini italia, na lina kiongozi wake mwenye wadhifa wa urais au...
3 Reactions
181 Replies
26K Views
Nimekaa nukajiuliza hivi baada ya kifo cha Field Marshal Fidel Castro kufariki, rais aliyopo madarakani Raul castro atasimamia msimamo wa kulinda ujamaa ulio zao la mapinduzi yaliyoongozwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
 Chama cha watu wasioamini uwepo wa Mungu (Atheists) nchini Kenya kimetaka kuondolewa kwa neno ‘God’ kwenye wimbo wa taifa. Wanadai kuwa neno ‘God” kwenye mstari wa kwanza wa wimbo huo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
CIA imechemka mara 643 kumuua raisi huyu Raisi wa tatu(3) duniani kukaa muda mrefu madarakani Avunja rekodi kuhutubia saa 7 bila kupumzika.
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Dear JF members, greetings unto you. Direct to the point. I have been puzzled by the word intelligence leading to more questions than answers in my mind. I wish therefore to share this with you...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Ieleweke hivi muda ni uwepo/the existance of space.. Muda hupimwa kwenye space i mean the way space exist it's the way we can get time/time existance. Space kama ilivyo haionyeshi kwenda mbele...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom