RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Why Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..
Ile Dunia ya kina farao.... Dunia ya Maajabu... Dunia ya kinabii.... Dunia Ya kutokea Mitume na Wakafanya mambo Ambayo Yameleta mabadiliko mpka leo hii.. Dunia hiyo imekwenda wapi. Dunia Ya Kuwafufua watu Kiukweli ukweli na si kama maagizo ya Sasa...
Je, Mungu kakasirika kwa miaka Yote Hii... Mpka Imani Za watu zinapoteza uelekeo kabisa... Why pasitokee Jambo au Muujiza ambalo hautaleta Maswali Mengi Kwa watu .. Why Kizazi chetu nacho Kisitoe Historia itakayokuwa Kama muongozo kwa Kizazi kingine
Kwa Dunia ile ya kipindi Kile Mungu alikuwa hakai Muda mrefu Hivi Mbona! na ukimya Wote Huu... Why hata siku Moja hasi-jidhihirishe Hata kidogo kama kipindi cha Yesu akatoa Sauti Watu wakaisikia ....