Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Tizama video hii na uchangie ila naomba utumie akili zaidi na ustarabu ktk comments zako
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi ningependa kujua uhusiano wa hao watu wa 2... wanamapinduzi wa cuba na argentine.... kama sijakosea majina yao hapo juu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Problems are the part of our planet earth, I'm not talking from academic context but the daily life which we live on. If you tackle normal life problems either automatically (with a some how...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kawaida sana kuona watu wana majini, mashetani, mapepo, maruwani ambapo ikitokea hivyo hutafutwa kiongozi wa dini mwenye uwezo wa kuyatoa au kuyakemea sasa kwa wale kina Ngombale Mwiru huwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari za jumapili wakuu, naomba kuwasilisha hapa kwenu nikijua wapo wajuvi wa mambo kama akina eiyer,the bold na wengine wengi mseza mkulu. ninajiuliza hili swala la elimu rasmi je limetoka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wajuzi wa jiografia naomba majibu ya haya maswali. Sote tumeaminishwa dunia ni duara/Tufe/yai, je sisi(viumbe vya duniani) tupo ndani yake au nje??
3 Reactions
97 Replies
21K Views
Sijui ni technology ama uwezo wa maulana anataka kutufumbulia kidogo siri za uumbaji?? Kuna hii technology inaitwa cryonic. Technology hii kwa mara ya kwanza ilianza 1976 mpaka sasa watu 100...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana wakati nimetoa makala fupi kuhusu melivita ya NIMITZ kuna mdau mmoja aliibuka na kuipinga kwa kusifia Melivita ya urusi ijulikanayo kwa Jina la Admiral Kuznetsov naomba nikamwambia alete data...
28 Reactions
119 Replies
29K Views
Salaam wana JF, Nimekaa nikatafakari sana juu ya asili ya maisha ya mwanadamu kuanzia tabia, lugha na utashi. Nikajipa jibu mimi mwenyewe huenda nikutokana na kurithi kutoka kwa wazazi wetu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Genesis6:19 You are to bring into the ark two of all living creatures, male and female, to keep them alive with you. In Genesis posits that Noah gathered "kinds" of animals and not all "species,"...
9 Reactions
206 Replies
27K Views
Kundi la wanasayansi mjini Vienna, Austria wameanzisha mpango wa kuunda taifa la amani la aina yake ambalo litakuwa na jina Asgardia. Taifa hilo litaundwa katika eneo la anga za juu. Maelezo...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu kwa muda mrefu sasa huyu Bwana anayejulikana kama Jullian Assange amekuwa akianika maovu ya serikali nyingi duniani, toka aanzishe mtandao wake wa Wikileaks karibu miaka 10 iliyopita...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mambo vipi wadau, Niende kwenye swali moja kwa moja kwenye swali langu; Hivi kuna uhusiano gani kati ya mgonjwa wa kifafa? Au baadhi ya vichaa? Maana kuna wengine mwezi Mchanga ndio...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Niko naangalia Aljazeera kuna documentary wanaonesha kuhusu utafiti wao juu ya biashara haramu ya pembe za ndovu na faru. Wameanzia Afrika Kusini mpaka China na Vietnam ambako ndiko kuna masoko ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, Najua hili swali limekaa kitoto lakini ukijiuliza hata wewe nadhani utafikiria kidogo haswa kama unaufahamu kidogo na mambo ya anga, kama wote tunavyofahamu jua huangaza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Karibuni sana wana jamvi! Leo nataka kuwashirikisha sababu za msingi kabisa ambazo ni rahisi kuzithibitisha kuwa binadamu na viumbe wengine wote tumeumbwa. Nitaongelea binadamu zaidi ila...
2 Reactions
101 Replies
11K Views
Wakuu, Ningependa Kujuzwa:Chanzo cha Hii Dini,Mwanzilishi Wake,Lengo la Lake na Vitabu Vinavyotumiwa na Waumini Wake! Kwa Wanaotaka Kujiunga Utaratibu Ukoje? Karibuni....
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Nimeamua kuandika hili baada ya Kuona kuwa kumekuwa na Upotoshaji Mkubwa kila siku zinavyoenda kwa hizi nadharia mbalimbali za kimatukio wakizihusisha na namba. Conspiracy theories...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Leo nataka tuifahamu kwa undani hii sayari ya Jupiter. Naanza wewe utaongezea au kurekebisha. 1. Ni sayari ya 5 kwa umbali kutoka jua letu (star). 2.Ni sayari kubwa kuliko...
21 Reactions
141 Replies
36K Views
Nawasalimia wana JF wote. Leo nipo hapa kuongelea swala hili la kufanya miujiza na uponyaji. Kwanza awali ya yote ningepeda kutoa utangulizi kama ifuatavyo. UTANGULIZI Sisi binadamu tuko na...
14 Reactions
252 Replies
53K Views
Back
Top Bottom