Hivi kwa nini baada ya shambulio la sept 11, watoto watatu wa mfalme wa saudi arabia waliuawa?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,813
15,070
Wakuu, Hivi ni kwa nini baada ya shambulio la sept 11 kule Marekani, kuna taarifa kuwa watoto wa mfalme wa SaudI Arabia walikufa vifo tata katka matukio matatu tofauti ndani ya saudia.

Inasemekana agents wa CIA na Mossad walikua wanahusika na vifo hvyo.

Je, tatizo lilikua ni nini mpaka hao watu wauwawe? nimejaribu kuunganisha dot na bill iliyopitishwa majuzi na Congress kule Marekani ya kuitaka Saudi Arabia iwalipe fidia watu wote walioathirika na lile shambulio na kuuwawa kwa hao watoto wa mfalme, nimeona kama kuna siri kubwa iliyofichwa?

Mwenye kuelewa atusimulie basi.
 
Hao watoto majina yao ni kina nani?
Waliuwawa kiutata sehemu gani?
Weka hapa source ya hii habari isiyo na shaka ili hii story yako ieleweke
 
Uchunguzi wa awali kabisa baada ya shambulio la 9/11 iligundulika kua kati ya watekaji 19 waliohusika 15 walikua ni Wasaudi. Pia, iligundulika kua watoto wa3 wa mfalme wa Saudi ndio walisimamia gharama zote zilizotumika. Bila shaka Wamarekani hawawezi kuridhika kuwa damu ya wana mfalme wa3 ni sawa na damu ya wamerekani 3000.
 
Back
Top Bottom